bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,016
- 4,961
Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.