Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,919
- 33,503
Mleta mada hajataja magazeti hayo tuYou kill it, et nitoe hela ninunue uhuru, mzalendo, Tanzanite and the likes hyo hela ni bora nikatoe sadaka
Mleta mada hajataja magazeti hayo tuYou kill it, et nitoe hela ninunue uhuru, mzalendo, Tanzanite and the likes hyo hela ni bora nikatoe sadaka
Arusha sijawahi ona karibu mwaka sasa
Slim hii bado haijafa ila ili simama hapo kati kati saiz imerudi kwenye trend sema kuna utofauti. Zamani tulipga picha studio na kuzisafisha na kuweke kwenye album ila saiz wanapiga na kuedit then zinapostiwa insta,fb nk. Kuna studio nyingi sana sasa hivi zmefunguliwaHata studio za kusafisha picha siku hizi Kwishnei
Uhuru wa habari umeminywa hivyo kutengeneza hofu na kupelekea habari nyingi kuwa za upande mmoja.Miaka miwili nyuma kushuka chini ilikuwa ni kawaida sana kukutana na vijana wakiwa na magazeti mkononi wakitembeza hapa na pale kutafuta wateja na yalikuwa yakinunuliwa kweli kweli,
Sehemu hizi ndo ilikuwa senta muhimu ya wauza magazeti kupata pesa, kwenye mabar, saluni aina zote, kwenye vijiwe vya Kahana nk.
Siku za usoni nimekuwa sioni tena hawa vijana wanaotembeza magazeti, nini sababu hadi wote kuishia mitini.