Kwanini biashara ya kutembeza karanga zilizokaangwa imekufa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Hii biashara ilikuwa ikifanywa na vijana wengi miaka ya nyuma. Imekufa kibudu. Shida nini?

Ni biashara ipi tena ya zamani imepotea au kufa?
 
Yaani hizi karanga kila nikinunua na kuzila hata za mia mbili tu yaani mapigo ya moyo yanaenda mbio sana ila hizi wanazofunga kwenye vifuko vya nailoni nikila nakuwa freshi tu. Sijui wanachanganya na madawa hani hawa vijana
 
Kaka njoo Tabora hadi kero, Wanazi tembeza sana, ikatokea umekaa zako sehemu utaona kero kwa kuulizwa kila mara na wanao zitembeza. Ziko mbichi, zaku kaanga, kuchemsha na maganda yake
 
Kaka njoo Tabora hadi kero, Wanazi tembeza sana, ikatokea umekaa zako sehemu utaona kero kwa kuulizwa kila mara na wanao zitembeza. Ziko mbichi, zaku kaanga, kuchemsha na maganda yake
Duuuhh, kumbe bado wapo
 
Tangu nilivyosikia kwamba wanaweka kemikali ili ziwe za moto kuanzia asubuhi mpaka jioni nikaacha kununua ,nanunua zile ambazo namuona akikaanga kwa mchanga wa baharini.
 
Back
Top Bottom