Kumekuwa na michezo mingi sana ya ubashiri kwenye vyombo vingi vya habari hasa redio na television.
Michezo hii imepewa majina mbalimbali kulingana na chombo cha habari husika, mfano:
-Pakua mkwanja
-Cheza pesa
-Mshiko faster
-Pesa mkwanja nk
Hata hivyo mtindo wa uchezaji ni mmoja (utofauti ni majina tu) ambapo watu hucheza au hubashiri kupitia mitandao yote ya simu kwa kutoa kiwango cha Tsh. 1,000/- tu.
Vyombo vingi vya habari hasa redio huendesha michezo hiyo muda wote, yaani katika vipindi vyao vyote mchezo wa ubashiri huwepo.
Hii ina maana kwamba kuna watu muda wote (saa 24)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.