Biashara ya internet

hii biashara ni nzuri,usikatishwe tamaa na watu,vizuri ukitimia TTCL wakupe unlimited ya kulipia 70,000 kwa mwezi ndiyo nzuri,mimi pia ni mdau wa biashara hizo najua vizuri ukiwa unamaswali zaidi ni pm,naona apa watu wameshaanza kukukatisha tamaa,
kuna vitu vingine kwenye uwezi fungua kwa simu sababu wengi wana simu za uwezo mdogo adi ufungue kwenye computer,biashara ya internet aiwezi kufa,ingawa imepunguza umaharufu lakin aiwezi kufa
 
hata ulaya bado kuna internet cafe , sema cha muhimu kuuliza management yako ipo vp , kuna software yoyote inaweza kutumika kujua watu wangapi wamekaaa hivyo kujua kiasi gani kimeingia bila mmiliki kuwepo ?
 
Namuunga mkono dazu,hii biashara inapungua cos nowadays kuna internet modem plus simu za mikononi.labda aweke na stationary,M-pesa agent n.k
 
Misikupi mashaka maana ninapokuwa internet cafe najikuta nipo na watu wenye heshma na uwezo wa kumiliki mawasiliano hayo majumbani, usiofu juu ya demand ya morogoro maana napajua sana. Hivi umewahi kupita katika vibanda vya kuchajia simu ukaona? Lakini sio kwamba umeme haupo majumbani mwa watu wengi hivi. Riziki yako ipo katika lile la haki utakalo jaribu kulifanya likupe riziki.
 
biashara nzuri hasa ikiwa kwenye eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu. Halafu mtu anayeiendesha awe ni mtu anayejua sana tovuti nyingi na kudeal na mambo ya online forms maana watu wengi hushindwa jua taarifa flani watapata wapi na hushindwa kufuata maelekezo ya kujaza online forms.
Mimi nimefanya hii biashara mwaka wa 3 sasa na kwa sasa natumia ttcl unlimited ya 70000 na nadaka wateja sana as nimejenga umaarufu kwamba anayefika kwangu sishindwi chochote kuanzia internet mpaka designing so watu wanaimbiana.
Any business needs a right person.
 
hata ulaya bado kuna internet cafe , sema cha muhimu kuuliza management yako ipo vp , kuna software yoyote inaweza kutumika kujua watu wangapi wamekaaa hivyo kujua kiasi gani kimeingia bila mmiliki kuwepo ?
kweli kabisa since huku kwetu ndo kwanza tecknolojia inaanza kukua so bado demand itakuwepo tuu kama ulaya leo kuna internet cafe japokuwa internet zipo mpaka chooni tena zenye kasi na nafuu na bado biashara ya internet cafe aifiii.
 
Nauliza wadau, hii biashara ya internet cafe bado inauza au imepoteza kutokana na technology ya simu kukua na kupanuka.... Iphone, ipad, tablet n.k.
 
Nauliza wadau, hii biashara ya internet cafe bado inauza au imepoteza kutokana na technology ya simu kukua na kupanuka.... Iphone, ipad, tablet n.k.

Hivi huko mtaani kwenu ni wangapi wanaomiliki iphone, ipad n.k? Unless kama unaishi masaki.
 
Mkuu bado kuna watu wengi tu wanahitaji huduma hii kwa kuwa hawana laptop,simu,ipad n.k!
 
gharama za internet kwenye modems baada ya kupungua kweli wateja wa internet cafe nao wamepungua,
 
internet cafe bado zina bamba ata ulaya,asia na marekani bado zipo
 
hii biashara haiwezi kufa kama money stunna alivyosema hata ulaya zipo kwa bongo hapa tatizo lipo kwa ISP you need to have two of them, TTCL wamezoeleka sana ila yakitokea matatizo ni wazito sana kutatua.
 
Sio sustainable sana kutokana na watu wengi kumiliki simu zinazopata internet wafu wengi kuwa na laptop zipo hadi za laki 5 nzuri tu na tv za kisasa zinakamata internet. Vile vile mamia ya watanzania wachache waliopata kazi hutumia muda wa mwajiri kucheck net
 
Bado inabamba lakini siyo kivile, hata humu ndani ya jf wengi wetu tunatumia cm zaidi.
 
internet cafe bado zina bamba ata ulaya,asia na marekani bado zipo

Biashara ni mazingira mkuu,mazingira ya dunia ya kwanza kibiashara ni tofauti na dunia ya tatu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Biashara ni mazingira mkuu,mazingira ya dunia ya kwanza kibiashara ni tofauti na dunia ya tatu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mazingira ya dunia ya tatu yakoje asa kwa biashara hii bila kuchakachua mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…