Biashara ya internet

Biashara ya internet

Hivi hii biashara bado ipoo?
Nikiangalia mtaani kwetu waliokuwa nazo wote wamefunga! siku hizi technologia imekua, watu wengi wana access ya internet maofisini, kwenye simu, wireless kila mahali n so tofauti na hapo zamani!
 
Sio wote wanaweza axces net,unaweka vitu vya ziada printin,scan,online application za chuo,kutizama matokeo + stationary etc,,,not only internet
 
Hivi hii biashara bado ipoo?
Nikiangalia mtaani kwetu waliokuwa nazo wote wamefunga! siku hizi technologia imekua, watu wengi wana access ya internet maofisini, kwenye simu, wireless kila mahali n so tofauti na hapo zamani!

Hata ulaya still bado zipo, ni sababu kuna vitu huwezi fanya kwa hiyo internet ya simu au ya modem yako nyumban. mfano kwa walio wengi hawawezi lipia bundle halafu aitumie ku download movies, internet cafe zitaendelea kuwepo la msingi ubunifu wako mkuu
 
location ndio kila kitu katika biashara zingatia sana hilo kama umekosea pa kuchagua location jua uko first step ya ku feli

weka na vitu vingine vya kuwafanya watu wje kama hapo mkuu alivyosema printing, n.k

ninakushauri uweke softwares za games
Kama fifa mortal kombat, spider man gta kama eneo lako liko karibu na shule ya sekondari

ngoja nikuchekeshe kuna jamaa yangu maarufu sana mwenge pale ana cafe yake kama hiyo sasa katenga vyumba viwili
Chumba cha kwanza kuna computer kadhaa zaina toa huduma za cafe kama kawaida then kuna chumba kingine kiko chimbo hiko kina computer kama 10 na kila computer ina movies za PILAU kama 100
Sasa wanafunzi wote wa makongo, mbezi school, kenton, st marys wanaishia pale kwa siku hakosi 100,000
 
This is what we call jamiiforums, yaani hapa ni zidi ya darasa ushindwe mwenyewe tu kuanzisha miradi midogo midogo. Na mie nasema kwa mfumo huu nimejipangia miaka mitano ijayo sitafanya kazi za kuajiriwa tena. Hapa ninachokifanya ni kuwa nachukua salary loans ili kuanzisha miradi midogo midogo ambayo najua ndani ya miaka mitanu naweza kuwa na hatua nzuri sana..
Ndugu zangu tuchukueni hatua tusitegemee kuajiriwa tu coz kazi za kuajiriwa zinakufanya upate hela ya kula tu na nauli za kukupeleka na kukurudisha ofisini.
Kwa sasa nimeanza na mradi wa kukata miti kwa ajili ya mkaa, nimewapata vijana na wanaanza kukata miti next week.
VIJANA WENZANGU TUAMKE SASA
DONT WAIT FOR THE CHANGES TO TAKE PLACE YOU HAVE TO MAKE CHANGES TAKE PLACE
 
location ndio kila kitu katika biashara zingatia sana hilo kama umekosea pa kuchagua location jua uko first step ya ku feli

weka na vitu vingine vya kuwafanya watu wje kama hapo mkuu alivyosema printing, n.k

ninakushauri uweke softwares za games
Kama fifa mortal kombat, spider man gta kama eneo lako liko karibu na shule ya sekondari

ngoja nikuchekeshe kuna jamaa yangu maarufu sana mwenge pale ana cafe yake kama hiyo sasa katenga vyumba viwili
Chumba cha kwanza kuna computer kadhaa zaina toa huduma za cafe kama kawaida then kuna chumba kingine kiko chimbo hiko kina computer kama 10 na kila computer ina movies za PILAU kama 100
Sasa wanafunzi wote wa makongo, mbezi school, kenton, st marys wanaishia pale kwa siku hakosi 100,000

Asante kwa taarifa, tutalifuatilia hili
 
Sasa kwa nini tunatafuta mchawi wa watoto wetu? Au ndio maana baadhi waliandika matusi kwenye mitihani
 
Hivi hii biashara bado ipoo?
Nikiangalia mtaani kwetu waliokuwa nazo wote wamefunga! siku hizi technologia imekua, watu wengi wana access ya internet maofisini, kwenye simu, wireless kila mahali n so tofauti na hapo zamani!

mawazo mgando hayo ndugu...........

hii fursa nimeiona hapa mtaani kwangu....vijana hawana computer na ndio wanaotumia zaidi internet hasa facebook...kizuri zaidi wala hawatengenezi trafic kubwa zaidi ya kbs 7 za facebook.............nitawawekea mazingira mazuri waweze kuwa 'huru' wakat wanatumia internet yangu.karibu sana from 1st april
 
Hivi hii biashara bado ipoo?
Nikiangalia mtaani kwetu waliokuwa nazo wote wamefunga! siku hizi technologia imekua, watu wengi wana access ya internet maofisini, kwenye simu, wireless kila mahali n so tofauti na hapo zamani!

Last month nilikuwa Dar na nilipanga hoteli mtaa wa Kongo/msimbazi pale kariakoo, nilikuwa natumia laptop yangu na dongle ila kuna siku mida ya kama saa 3 usiku nafanya shughuli zangu sijamalizia hela ikaisha kwenye dongle ikabidi nitafute Cafe, nilisumbuka sana kila unapofahamishwa ukifika unaambiwa tumefunga cafe biashara hii hatufanyi tena. Naona hii biashara inategemea na Location zaidi, kwa maeneo ya mjini kila mtu ama ana laptop na dongle ama anatumia smartphone kwa hio wateja wanakuwa kidogo sana.
Good Luck mkuu.
 
Last month nilikuwa Dar na nilipanga hoteli mtaa wa Kongo/msimbazi pale kariakoo, nilikuwa natumia laptop yangu na dongle ila kuna siku mida ya kama saa 3 usiku nafanya shughuli zangu sijamalizia hela ikaisha kwenye dongle ikabidi nitafute Cafe, nilisumbuka sana kila unapofahamishwa ukifika unaambiwa tumefunga cafe biashara hii hatufanyi tena. Naona hii biashara inategemea na Location zaidi, kwa maeneo ya mjini kila mtu ama ana laptop na dongle ama anatumia smartphone kwa hio wateja wanakuwa kidogo sana. Good Luck mkuu.
nitakuja eneo hilo kfanya kazi
 
ukitaka fanya biashara vizuri hakikisha una walau knowledge flani ya mambo ya comp. Hakikisha internet speed iko fast walau 250kb/sec.
Mimi hapa nauza pia software, cd za windows na mtu akitaka update antivirus pia analipia ela tofauti ambayo ni 3000.
mimi nina computer 6 kwa siku sikosi elfu 30000 sometime hadi napata 90 au hata laki kwa kuwa mimi nauza pia movie mpya ninazo download toka internet na softwares pia na kila movie mpya mtu akitaka namuuzia 5000 moja kwa 3000 kama anachukua zaidi ya 5.
Ubunifu wako kaka

kaka naomba unikumbushe jinsi ya ku PM sababu kuna kitu nataka unisaidie hapa
 
kaka naomba unikumbushe jinsi ya ku PM sababu kuna kitu nataka unisaidie hapa

una click kwenye jina langu, yani hapo kwenye elmagnifico halafu itafunguka page utaona sehemu imeandikwa sens message click hapo niandikie messege and send
 
Wadau naomba kuuliza; ukitaka kufungua internet cafe inatakiwa uwe na vitu gani vingine apart from(Computers,Cables,ISP)?N' naomba kujua utaratibu(procedure) za kufuata kabla ya kuanza biashara hiyo coz me mgen kidogo kwenye sekta ya biashara.ahsanten..!
 
Subiri wenye utaalamu wanakuja maana nadhani wako kule kwenye sherehe za may mosi
 
System ya kutengeneza na kuchapa kutoa airtime,printer,scanner and kila PC kuwa na headphone,webcam for skyper clients
 
Wadau naomba kuuliza; ukitaka kufungua internet cafe inatakiwa uwe na vitu gani vingine apart from(Computers,Cables,ISP)?N' naomba kujua utaratibu(procedure) za kufuata kabla ya kuanza biashara hiyo coz me mgen kidogo kwenye sekta ya biashara.ahsanten..!
Mkuu inategemeana na ukubwa wa ofc yako but vitu muhimu ni hivi hapa:
1.Mtafute na umjue INTERNET SERVICE PROVIDER WAKO,wapo wengi kama ttcl,zantel sasatel nk jua gahrama zao za huduma kwa mwezi au kwa bundle inategemeana na wateja ulio nao na eneo la biashara likoje hii ni muhimu sana.
Note:ttcl kwa huduma yao ya dsl ie kutumia cable lazima uwe karibu na eneo ambalo kuna nguzo zao ua line za simu,

2.Vifaa vya kufanyia networking ndani ya ofc yako kama vifuatavyo:
a.Modem/Router baadhia ya kampuni ukinunua modem inakuwa na router ambayo unaweza ukapata/ukatoa huduma ya wireless mfano sasatel na ttcl
b.Switch; kama modemu yako/router yako itakuwa haina outlet za kutosha au ukiwa umenunua modem ya ttcl ya kawaida itabidi uwe na switch ambayo itahitajika kuongezea cable kutokana na matumizi yako au idadi ya computer unazotaka kueka kwenye hiyo cafe yako,switch ndogo kabisa hubeba pc nane na ukitoa line moja ya kutoka kwenye modemu ya ttcl unapata pc saba tu.
c.Cable kwa ajili ya netwoking ndani ya ofisi yako wingi wake unategemea na ukubwa wa ofc yako pamoja na uwingi wa pc zako.
d.Scanner ,Printer,Photocopy machnine nk,hivyo vitu vya headphone na mengineyo vinategemea na eneo husika lilivyo kibiashara.
Kwa maelezo zaidi NI PM!
 
kama kuna nguzo ya ttcl karibu nakushauri ISP wako wawe hao. wale proxy ISPs ni wasumbufu kwa kiasi kikubwa. ttcl wana product ya kupata net kwa utaratibu wa unlimited connection na bundles. ubaya wa bundles kwenye biashara ya internet inabidi uwe na IT expert wa ku monitor matumizi ya bundles au la utalia kimbwa hasa wakija vijana kupakua - unaweza gharimia bundles kupita kipato i.e. zikaisha kabla hazijarudisha gharama. lakini with unlimited connection ni speed ndo inakulinda. apakue kiasi chochote lakini atakaa pale akiongeza muda. kama bei ya mteja kutumia net ni juu sawa na hata hivyo inabidi uwatoze kwa upakuaji (wateja wengi wasingependa uwa pursue kwa kila wanachokifanya) - lakini with all this competition na hasa simu za mikononi hutaweka bei zaidi ya inayo prevail.

Kwa vile utafanya biashara pata TIN, Liseni ya biashara / barua ya utambulisho toka ofisi ya mamlaka ya mawasiliano kukwepa usumbufu usio lazima wa ofisi za biashara - ni vizuri wakupe utaratibu ikiwezekana. hakuna jambo baya kama kuleta usumbufu hasa wateja wanapokuwa busy kwenye cafe yako kwa vile hujalipa kodi au unakatiwa umeme kwa vile hujalipia.
 
Back
Top Bottom