Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Asanteni sana wakubwa kwa kunidadavulia vizuri
TTCL wazuri ndugu yangu, upo eneo gani nijaribu jinsi yakukusaidia,pia kuna huduma nzuri nitakupatia ambayo nakuhakikishia kwa siku hutokosa wateja 20 baada yakuzoeleka hasa kama upo maeneo ya town, but hii huduma lazima unipatie percent yangu. NB: sifanyi kazi TTCL 😀
Acha fix weweeee?? Hata New Africa Hotel kuna Cafe, na hapo wanaoingia 99% wanazo izo mobile na bado cafe inajaa??cafe hamna kitu siku hizi watu wanamaliza mambo yao kwa mobile tu.
Makre - Wenu,
Kama unataka kupata ISP mzuri , nenda Cats-Net limited, wako Samora Avenue,
Life House, 4th Floor.
4[SUP]th[/SUP] Floor NIC life House
Tel: +255-22-2113033
Sales Email : sales@cats-net.com
Mobile : (+255) 0785-091930
TTCL wazuri ndugu yangu, upo eneo gani nijaribu jinsi yakukusaidia,pia kuna huduma nzuri nitakupatia ambayo nakuhakikishia kwa siku hutokosa wateja 20 baada yakuzoeleka hasa kama upo maeneo ya town, but hii huduma lazima unipatie percent yangu. NB: sifanyi kazi TTCL 😀
Kaka nenda ttcl tu.hapo ni kukomaa nao tu.usijisumbue kwenda kwa wahindi utajuta mwisho wa siku.
Hii biashara sasa hivi inashuka umaarufu wake kutokana na watu wengi kufanya mawasiliano yao ya internet kupitia simu za mkononi. Huenda baadae ikafa kabisa kama ilivyokufa biashara ya kupigisha simu vibandani baada ya watu wengi kumiliki simu, na ushindani kushusha gharama za upigaji. Ningeshauri aangalie biashara ambayo itaendelea kupata umaarufu hata baada ya miaka kupita.