Biashara ya internet

Biashara ya internet

Yaani JF nizaidi ya family kile mtu anajua hata kaa akunyime labda usijue namna ya kukiomba....thnx mkuu basat.
 
Last edited by a moderator:
duh nimewapata waheshimiwa, ila kiukweli inawezekana kabisa hili soko bado lipo na linakua. maana siku hzi hata matokeo ya mitihani wana upload kwenye mitandao... pia application za vyuo zinafanywa online hasa Loan board... nk :confused2:
 
sijafanya research ya hii biashara kwa wakati huu,siku za nyuma nilikuwa sikosi cafe karibu kila siku lakini baada ya ujio wa modem za airtel na kifurushi cha 400mb sijaweka mguu cafe tena
 
Cafe 5 za maana early 2000 zimefungwa,wengine wamemove to stationary
Hii biashara i think inalipa mkoani
Dar utapasuka kichwq
 
Mwenye kuelewa jinsi ya kufanya mchakato wa kuanzisha hii biashara anitoe ujinga...
Nina computer sita, printer and location nimepata.
 
mkuu hongera kwa kufikilia kuanzisha biashara yako...ni wazo zuri sana kuweza kuanzisha biashara. Ila nataka kukushauri tu kuwa inabidi uangalie dunia hi sasa inaelekea wapi? hapa namaanisha biashara unayofikilia lazima iwe inaendana na wakati uliopo na unaokuja...fikilia watu waliokua wanatengeneza stamp leo hii wako wapi? Internet cafe zilikua biashara nzuri mwanzoni mwa mwaka ya 90 sina uhakika kama ni biashara ambayo ina life span hata ya miaka 5 mbele...Tafakari sana utatambua...
 
Kama hapa kwetu ilianza mwaka wa 90 na unasema haina life span ya miaka 5, Marekani na ulaya ilianza mwaka gani? coz mpk sasa zipo na zinapiga kazi.......unataka kuniambia baada ya miaka 5 kila mtanzania atakuwa na internet connection nyumbani, atakuwa na Scanner......atakuwa na Printer......atakuwa na binding mashine.......atakuwa na Laminator.......atakuwa na photocopy mashine??? nasubiria jibu!!
 
Mwenye kuelewa jinsi ya kufanya mchakato wa kuanzisha hii biashara anitoe ujinga...
Nina computer sita, printer and location nimepata.

Lazima uwe makini kuangalia ni ISP gani utafanya naye kazi....speed ya connection iwe nzuri, wanaoshughulikia matatizo ya conection kwa haraka....na bei pia iwe nzuri.....usiishie tu kuweka computer na printer.....weka pia Lamination machine.....scanner....Binding machine..... ni biashara nzuri kama ukiwa na eneo zuri na mfanyakazi mwelewa.....!!
 
nashukuru kwa mwongozo wako mkuu but ungenielezea vizuri hapo kwenye isp sijakupata
 
mkuu hongera kwa kufikilia kuanzisha biashara yako...ni wazo zuri sana kuweza kuanzisha biashara. Ila nataka kukushauri tu kuwa inabidi uangalie dunia hi sasa inaelekea wapi? hapa namaanisha biashara unayofikilia lazima iwe inaendana na wakati uliopo na unaokuja...fikilia watu waliokua wanatengeneza stamp leo hii wako wapi? Internet cafe zilikua biashara nzuri mwanzoni mwa mwaka ya 90 sina uhakika kama ni biashara ambayo ina life span hata ya miaka 5 mbele...Tafakari sana utatambua...
nashukuru pia bali imeonekan a unanikatisha tamaa
 
ISP ni kifupi cha Internet Service Provider....... atakayekupa wewe connection ya internet na wewe kuunganisha computer zako.....wako wengi japo sijui upo wapi!!
 
Siku hizi sehemu kubwa ya wa-bongo wenye uwezo wa kumiliki simu wana access na internet....sasa hiyo cafe yako sijui utampata nani...
 
atakuwa na Scanner......atakuwa na Printer....atakuwa na photocopy mashine??? nasubiria jibu!!

hapa tunaongelea internet cafe sasa hizo printer,photocopier nk. zimeulizwa na mtoa mada? nacho jaribu kusema hapa ni kua mtoa mada ajaribu kufikilia sustainability ya biashara anayotaka kufanya kulingana na hali ya sasa na ijayo. hata wewe ni shaidi kipindi matumizi ya internet yalipoanza wenye cafe walipiga hela sana.je sasa ikoje.nazizifahamu zilishafungwa nyingi tu
 
nashukuru pia bali imeonekan a unanikatisha tamaa

No no no mimi sikukatishi tamaa hata kidogo najaribu kukufanya siku nyingine uumize kichwa zaidi kubuni biashara ambayo itakua sustainable. hiyo ni changamoto tu ndugu yangu. hata wewe mwenyewe fikiria vizuri kwa technology inavyokua kwa speed kubwa namna hiyo unless unataka kupass time tu ili mradi na wewe unamradi. mala kumi hata ungefikilia wazo la kuanzisha stationary ni biashara ambayo bado ina span
 
Mwenye kuelewa jinsi ya kufanya mchakato wa kuanzisha hii biashara anitoe ujinga...
Nina computer sita, printer and location nimepata.

hiyo printer ikiwa coloured pia ni nzuri zaidi pia unatakiwa uwe na scanner na laminator kuhusu ISP tumia TTCL
 
mkuu capital,inahitajika kama shilingi ngapi kuwa na hizo computer sita na vitu vingine...nina kaka yangu yupo tu nyumbani jamani....
 
mkuu hongera kwa kufikilia kuanzisha biashara yako...ni wazo zuri sana kuweza kuanzisha biashara. Ila nataka kukushauri tu kuwa inabidi uangalie dunia hi sasa inaelekea wapi? hapa namaanisha biashara unayofikilia lazima iwe inaendana na wakati uliopo na unaokuja...fikilia watu waliokua wanatengeneza stamp leo hii wako wapi? Internet cafe zilikua biashara nzuri mwanzoni mwa mwaka ya 90 sina uhakika kama ni biashara ambayo ina life span hata ya miaka 5 mbele...Tafakari sana utatambua...

mkuu mimi sikubaliani kabisa na wewe mtoa mada amesema ana computer 6 unamshauri afungue stationery hizo ni akili za wapi? unasema watu walipiga hela miaka ya 90 na wengine walifunga ni kweli teknolojia imekua kinachotakiwa ni mtoa mada kupata location nzuri na awe na ubunifu atapiga hela kuliko iyo miaka ya 90 na hao waliofunga unajua sababu? sasa computer 6 atatumia vip ktk stationery
 
Back
Top Bottom