Jamani tuwe realistic,watumiaji wengi wa internet wa kawaida yaani sio wanaotumia kibiashara(wale wanaotumia internet kwa kuchat) wamepungua,sababu kila mtu sasa anataka BBM na wengine wanweza kuaccess hizo social media zingine kwa simu,na wengi wana simu.
Upande wa wafanyabiashara,wanaohitaji kutumia internet kibiashara,wafanyabiashara Bongo hii ambao biashara zao haziwezi kwenda bila internet ni wachache sana,bado tunafanya business locally,lakini kama nikihitaji kutuma email naweza tumia simu,kwnn nikalipe 500 au buku kisa nataka tuma email tu!hiyo business imekufa.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums