Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

Duh! Hatari sana.
Hii biashara haitakujaisha.
 
Kisha kinatokea kibushuti kimoja kilichovaa kaboxer kakijani kinakwambia
Gentleman " sheria ni msumeno"
Huyu mwana siasa alichukuliwa gani haswa?
Hizo sheria wanavunja wapin!ani tu???
Kisha kinatokea kibushuti kimoja kilichovaa kaboxer kakijani ..šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Ukahaba.
There's no bussiness like ho bussiness.
Ni hype tu, biashara ya ukahaba ni mijini zaidi lakini pia kuna nchi nyingi duniani biashara ya ukahaba ni halali kabisa, sio haramu.
 
Ningekua na uwezo ningekusanya wanasiasa wote niwalipue kwa bomu la nyuklia,kisha mataifa yote yaongozwe kijeshi
 
Kwa Bongo SNOWFALL ndio mpango mzima..Ukiwajua wauza unga wakubwa wa hapa Bongo utahamaki....
 
Ni hype tu, biashara ya ukahaba ni mijini zaidi lakini pia kuna nchi nyingi duniani biashara ya ukahaba ni halali kabisa, sio haramu.
Hakuna biashara yenye faida na inayotumiwa na watu wengi huku imeharamishwa kama ukahaba.
Na upo kila mahali duniani mpaka Mecca na Vatican City.
Na nchi zilizohalalisha bado zina-control makahaba ambao hawataki kuwa controlled na serikali, kwa hiyo wanafanya kiharamu.Drugs na Silaha zote ni biashara zinazopaliliwa na ukahaba.
It's the oldest, most profitable and unbeatable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…