Bia ni bora kuliko mwanamke

Bia ni bora kuliko mwanamke

it is not fair kumfananisha mwanamke na pombe

This is joke!

it is not fair kumfananisha mwanamke na pombe

Sure hata mi naunga mkono, si busara kumfananisha mwanamke na bia. Acha inaboa ndugu, think of your mother!

so beer is better than your mom and sisters duuu kashfa nyingine .....

Bia ni bora kuliko mama yako

Offensive joke!

SIO WABUNGE TU WANAOHITAJI KUPIMWA AKILI,HATA HUMU JF KUNA WAGONJWA WENGI WANAOHITAJI KUPIMWA. Tuandike proposal kuomba huduma hiyo!!

Invisible kuptia Jf doctor naomba mpime wa'tz wenzetu medula obulangata zao

come on guyz this is Jokes and gossips forum its all jokes,kumbe nyie hamjui watani ambao hata mama yako akifa bada wanakupiga mabango! Ila hamna anaemind it's all jokes. Any way the joke is hilarious,for the ones offended take it easy it ain't serious.

Jamani si mshaambiwa ni jokes au hamsomi title za majukwaa? batu bengine ngumu kumesa (kuelewa) aisee

Dats what i'm trying to say but people dont want understand!

its only jokes banaa not real mazeee..kwani nani ajui mwanamke ni boraa kuliko kila kitu.

kama mnazungumzia ndovu baridi sawa!
Imenibidi nicheke tu.

Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke

1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza

(haina mapozi)

2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.

(haina wivu)

3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua

(huwa bikira)

4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.

5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi

(hamu haiishi)

6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

Yes, bia ni bora zaidi 'cause you can have it in public

Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke

1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza

(haina mapozi)

2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.

(haina wivu)

3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua

(huwa bikira)

4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.

5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi

(hamu haiishi)

6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

Yes bia ni bora zaidi 'cause you can have it in public.

Nakubaliana na Zayat kua hujatufanyia fair kutufananisha… But then nagundua
Ni jukwaa la Jokes…. Hivo ni dhahiri ulikua unatania… Hivo basi kwa utani huo huo..

Sababu Sita kwa nini Bia ni bora kuliko mwanaume

1. Haikuulizi kama umekojoa hata unywe mara ngapi
2. Ukiinunua haikujudge kua wewe ni mwanamke hustahili
3. Ukiichanganya na kilevi nyingine hukuchangamsha sio kukutelekeza
4. Ukinywa bia unahakika ya kufika ufikapo… huna wasi wasi
5. Ukienda Bar kununua huna wasi wasi kama chupa saizi ni tofauti.
6. Ukiamua kua marafiki/kuolewa haikutelekezi labda wee ndo uitelekeze
Hizi topics zingine bana.... Kutengua tu saumu hapa....

• Thanks
Reactions: BAK
Nakubaliana na Zayat kua hujatufanyia fair kutufananisha… But then nagundua
Ni jukwaa la Jokes…. Hivo ni dhahiri ulikua unatania… Hivo basi kwa utani huo huo..

Sababu Sita kwa nini Bia ni bora kuliko mwanaume

1. Haikuulizi kama umekojoa hata unywe mara ngapi
2. Ukiinunua haikujudge kua wewe ni mwanamke hustahili
3. Ukiichanganya na kilevi nyingine hukuchangamsha sio kukutelekeza
4. Ukinywa bia unahakika ya kufika ufikapo… huna wasi wasi
5. Ukienda Bar kununua huna wasi wasi kama chupa saizi ni tofauti.
6. Ukiamua kua marafiki/kuolewa haikutelekezi labda wee ndo uitelekeze
Hizi topics zingine bana.... Kutengua tu saumu hapa....[/QUOTE]

Hahahahahah lol! Ushatengua pole sana 🙂 🙂

teh teh teh! Ivi kwanini sasa mkishakuwa bwax ndio mnajifanya mnatafuta mademu? hamna jipya ninyi ni vimeo wooote

kweli bia ni pambo la nyumba na linakupa vyoooote,watoto,chakula,usafi,courage,sucess n all of that....TBL making life better for luzas men.

bia ni utumwa ma slavery wote polen sana,na kuchomoka humo ni shughuli mtaishia kubadilisha tu mara kilimanjaro mara safari mara ndovu mara hii inatibua nyongo mara hii ina hangover,na hata mkiacha ni kwa muda tu (hakika limbwata lake sio mchezo)...mtarudi,polen sana walevi wote wa Jf hata wale mnaoanza...nawaonea huruma

bantu bengine bana mutimbio ba ubongo hii ipo fasi ya jokee hainaga maneno, maproblemee ya munene, sasa banaanza tu kutomboka basielewe humu mwetu ipo na majokee kabambe

hahhaaaa ahahaa jamani huu utani mwingine mie si upendi ntaua mtu sasa hivi, yaani kweli my wife wangu aniambie kitu kama hii ntavumulia?? hapana hata siku moja hasa hapo namba 3 & 5
Nakubaliana na Zayat kua hujatufanyia fair kutufananisha… But then nagundua
Ni jukwaa la Jokes…. Hivo ni dhahiri ulikua unatania… Hivo basi kwa utani huo huo..

Sababu Sita kwa nini Bia ni bora kuliko mwanaume

1. Haikuulizi kama umekojoa hata unywe mara ngapi
2. Ukiinunua haikujudge kua wewe ni mwanamke hustahili
3. Ukiichanganya na kilevi nyingine hukuchangamsha sio kukutelekeza
4. Ukinywa bia unahakika ya kufika ufikapo… huna wasi wasi
5. Ukienda Bar kununua huna wasi wasi kama chupa saizi ni tofauti.
6. Ukiamua kua marafiki/kuolewa haikutelekezi labda wee ndo uitelekeze
Hizi topics zingine bana.... Kutengua tu saumu hapa....[/QUOTE]

Hahahahahah lol! Ushatengua pole sana 🙂 🙂

Wallahi nahamia Bar leo hii hii,, sitasubiri tena....kumbe kuna raha namna hii? ila mahari ni kiasi gani Mpwa? isijekuwa mahari ni kubwa kuliko service ntakayoipata...ngoja nitunge uongo hapa kwa my wife wangu kuwa nasafiri kikazi kwenda mkoani Bar kwa ajili ya semina wezeshi na elekezi...
Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke
1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza
(haina mapozi)
2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.
(haina wivu)
3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua
(huwa bikira)
4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.
5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi
(hamu haiishi)
6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke
1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza
(haina mapozi)
2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.
(haina wivu)
3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua
(huwa bikira)
4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.
5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi
(hamu haiishi)
6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.
vipi vice versa?

Vyote hakuna bora kila kimoja kanamadhara yake

Back
Top Bottom