Bi Kidude ndani ya 'Pool'

Bi Kidude ndani ya 'Pool'

Dogo umeboronga. Hiyo ni kama Kashfa! Hapa wala hukua na nia ya utani nia yako ni kutueleza jnsi unavyomfananisha bi kidude.
Kumbe wewe ni Hovyoooooooooooooo!

Nani dogo wako wewe? kiazi kweli kweli wewe!
 
Wewe kijana unataka kugeuka jiwe?Hata yeye alipokuwa kijana alikuwa kama wewe na weweunaelekea huko kwenye uzee!Heshimu wazee tafadhali!
 
Mnamchelewesha nini? Apigwe ban bwana!!
Hii ni kinyume na maadili yetu tz.
Apigwe ban mtu huyu.
 
utani upo lkn ulipofika mbali,wazungu wengine wanaopenda ubaguzi wa rangi wakisoma wataona waafrica wote ni crocodiles.jaribu kumuomba radhi na waafrica wote.
 
hata biblia inasema"OGOPA KICHWA CHENYE MVI, NA UHESHIMU USO WA MTU MZEE" wewe ni nani unapata ujasiri wa kumuita mtanzania mwenzako krokodail? km vp apigwe ban kwa muda
 
hata biblia inasema"OGOPA KICHWA CHENYE MVI, NA UHESHIMU USO WA MTU MZEE" wewe ni nani unapata ujasiri wa kumuita mtanzania mwenzako krokodail? km vp apigwe ban kwa muda

but lazima muelewe jaman utani ni utani inategemea na jinsi nyie mlivyoipokea kama imekuuma potezea coz wengine hawana mbavu
 
kijana usidharau uumbaji wa Mungu, kumbuka hujaf hujaumbika pia hata yy hakujiumba
 
Jamaa hajamzalilisha bi kidude tu bali kawazalilisha Waafrika wote kwa ujumla.
Nimechukizwa sana na hii therad.
 
Assume ingekuwa mama yako! inaelekea umezaliwa jalalaniau kwenye danguro na ni mtoto wa zinaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom