Porojo at work sitashangaa kusikia huyo mama ni mbunge kiti maalum 2015. Ndio wanavyoanza hawa hata TUndu Lissu alikuwa hivi.
Kwa bahati mbaya sana umeongea bila kuwa na evidence ya ni wapi na wapi wanasheria wa LHRC walipowahi kusimamia kesi wakashindwa ama kwa uzembe ama kwa 'kutokujua kitu'. Pia huwajui wanasheria Kama Madame.Lulu Urio,Harold Sungusia.. Hujui kama ni mwaka jana tu Madame.Hellen Kidjo Bisimba amerudi toka masomoni na hujui alikuwa akisomea nini.. Huwa napenda kusoma comment za watu hasa zenye ushahidi.. Hii ya kwako si tu kwamba imekosa ushahidi bali imepoteza credibillity ya kuitwa comment.
Thanks
Kwa hiyo anataka kwenda the Hague kama sehemu ya kufanyia field ya alichosoma au ana sababu ya kushtaki huko the Hague? Unajua wakati mwingine kabla ya kukurupuka kwenda kwenye media na kutoa porojo ni vizuri ukapata ushauri hata nyumbani,co-workers nk. Sitaki kuamini kama huyu mama ameolewa,pengine social frustrations zinakuwa sababu ya yeye ku-behave hivi. Ni upuuzi wa hali ya juu kufikiria kushtaki polisi the Hague,wakati huna evidence ya kutosha polisi ndio waliomuua mwandishi! Hii ndio mara ya kwanza mtu kufa kwenye vurugu kati ya polisi na raia? Na vipi kuhusu polisi wanaouwawa na raia wakiwa kwenye utekelezaji wa majukumu yao? au polisi sio watu? Na ungesema nini kama katika vurugu zile angekufa polisi na sio raia? Na hii inadhihirisha ni jinsi gani wasomi wa Tanzania walivyo vilaza!
Mnatia aibu kuwaita wanaharakati,eti kituo cha sheria na haki za binadamu,BINADAMU WEPI? Binadamu maana yake ni nini kwa tafsiri ya Chadema? Mapigano yanatokea kila siku kwenye vurugu,imani za kishirikina,vita vya kikoo na kabila huko Tarime,wafugaji na wakulima maeneo mbalimbali,hawa wanaokufa sio binadamu,ila akifa mtu mmoja kwenye vurugu za chadema, Helen Bisimba anaamka usingizini! Shame on you! Lakini ukitokea wizi kwenye mabenki,mitaani kwenu mnapoishi,mnawataka polisi hawa wakasaidie! Hatujawahi kusikia hata siku moja Helen Bisimba na kituo chake,au watu wa chadema wakienda kupambana na majambazi wenye silaha wanapovamia mabenki,bar,mahotelini..na kwingineko. Hivi hii nchi ina watu aina gani?
Watanzania kwa kawaida ni wepesi sana kulaumu hata kile ambaco wao wenyewe hawawezi kufanya.. Haya hebu tuambie huyoMhe. Tundu Lissu alikuwaje na sasa yukoje.
Kwa hiyo anataka kwenda the Hague kama sehemu ya kufanyia field ya alichosoma au ana sababu ya kushtaki huko the Hague? Unajua wakati mwingine kabla ya kukurupuka kwenda kwenye media na kutoa porojo ni vizuri ukapata ushauri hata nyumbani,co-workers nk. Sitaki kuamini kama huyu mama ameolewa,pengine social frustrations zinakuwa sababu ya yeye ku-behave hivi. Ni upuuzi wa hali ya juu kufikiria kushtaki polisi the Hague,wakati huna evidence ya kutosha polisi ndio waliomuua mwandishi! Hii ndio mara ya kwanza mtu kufa kwenye vurugu kati ya polisi na raia? Na vipi kuhusu polisi wanaouwawa na raia wakiwa kwenye utekelezaji wa majukumu yao? au polisi sio watu? Na ungesema nini kama katika vurugu zile angekufa polisi na sio raia? Na hii inadhihirisha ni jinsi gani wasomi wa Tanzania walivyo vilaza!
Mnatia aibu kuwaita wanaharakati,eti kituo cha sheria na haki za binadamu,BINADAMU WEPI? Binadamu maana yake ni nini kwa tafsiri ya Chadema? Mapigano yanatokea kila siku kwenye vurugu,imani za kishirikina,vita vya kikoo na kabila huko Tarime,wafugaji na wakulima maeneo mbalimbali,hawa wanaokufa sio binadamu,ila akifa mtu mmoja kwenye vurugu za chadema, Helen Bisimba anaamka usingizini! Shame on you! Lakini ukitokea wizi kwenye mabenki,mitaani kwenu mnapoishi,mnawataka polisi hawa wakasaidie! Hatujawahi kusikia hata siku moja Helen Bisimba na kituo chake,au watu wa chadema wakienda kupambana na majambazi wenye silaha wanapovamia mabenki,bar,mahotelini..na kwingineko. Hivi hii nchi ina watu aina gani?
Kama hujui kwamba Tundu Lissu aliitumia sana ITV kwa manufaa yake binafsi ya kisiasa kwa kujitia mwanaharakati mtetea wanyonge basi hata huko Chadema inabidi utoke uende ADC.
Please, Unaweza kujenga hoja?.
Siwezi kujenga hoja naweza kutengeneza ajali tu za kuwaua wanasiasa kama ulivyofanya wewe.
Siasa tupu...Dr Slaa ndio afikishwe the hague kwa kukaidi amri halali na kusababisha vifo!
Upuuzi mtupu kwani DR Slaa ndiye aliyeshika bunduki siku hiyo?na huyo aliyeshka bunduki kulikuwa na ulazma gani kuua wakati unayemuua hana hata panga licha ya bunduki?
...halafu kwa kifupi, pale LHRC ni wabovu sana wa sheria, na hawana wanasheria waliobobea kwenye masuala ya sheria za kimataifa, hakuna hata mmoja, kama yupo mtaje pale...wote hawajui zaidi ya kupiga tu kele....
Nashauri watafute ushauri labda kwa wanasheria walioko pale ICTR arusha, ila pale, kuanzia kijo wote hawajui sheria inayohusu hayo..ndio maana hadi leo hii wanaamini kwa matendo yaliyofanywa tu na polisi yanafikia kiwango cha kushitakiwa the hague, pale wamejaa vilaza watupu.
Siwezi kujenga hoja naweza kutengeneza ajali tu za kuwaua wanasiasa kama ulivyofanya wewe.
Hawa wanaharakati siku zote mie binafsi nawaona waganga njaa wanatafuta cha kutokea mwisho wa siku wanakuwa wabunge.
Mfano ni Tundu Lissu alingia Chadema akitokea kwenye NGO akijifanya mwanaharakati, katika hiyo NGO alikuwa mwanasheria wa mazingira alikuja na singo ya Bulyanhulu, ndiye aliyedai kuna mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa wakiwa hai. Alidandia hoja ya kitoto ya Dr Augustine Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa NCCR Mageuzi.
Leo ukimuliza Tundu Lissu vipi ule mkanda wa video atakuambia umetumwa.