Bi Hellen, tunataka taarifa iliyokwenda The Hague si maneno matupu

Huyo mama namuanaga kama msanii tuu, (Lao moja na serikali) anaiosha kwa wafadhili wake tuu.Yetu macho, Ila najua hamna kitu hapo
 
Huyo mama namuanaga kama msanii tuu, (Lao moja na serikali) anaiosha kwa wahisani tuu.Yetu macho, Ila najua hamna kitu hapo

Yenu macho tu!... What a shame?.. Yaani huna la kufanya juu ya mauaji yanayoendelea lakini unadiriki kumdharau ambaye tayari ameanza kuchukua hatua!..
 
Hawa wanaharakati siku zote mie binafsi nawaona waganga njaa wanatafuta cha kutokea mwisho wa siku wanakuwa wabunge.

Mfano ni Tundu Lissu alingia Chadema akitokea kwenye NGO akijifanya mwanaharakati, katika hiyo NGO alikuwa mwanasheria wa mazingira alikuja na singo ya Bulyanhulu, ndiye aliyedai kuna mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa wakiwa hai. Alidandia hoja ya kitoto ya Dr Augustine Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa NCCR Mageuzi.

Leo ukimuliza Tundu Lissu vipi ule mkanda wa video atakuambia umetumwa.

Hao wanaharakati ni waganga njaa???.. Haya.. Hebu tuambie nini nafasi yako kwa jamii kuwawajibisha waliofanya mauaji hayo ili kukomesha mengine kutokea..
 
Huyo mama namuanaga kama msanii tuu, (Lao moja na serikali) anaiosha kwa wafadhili wake tuu.Yetu macho, Ila najua hamna kitu hapo

Sio kama namdharau! Kuna mauaji ya watu zaidi ya 35 yameshafanywa na polisi chini ya utawala huu, Sijaona wakifanya chochote hata kwa hizi mahakama za ndani. Wanawaridhisha wafadhili wao tuu ili wawaone wako active.Huyo mama hana lolote, Ni meza moja na Magamba.Kama unabisha utajionea.
 
Pengine ni vyema ungeanza kujiuliza kama wewe ni mtu wa aina gani?.. Ndiyo; wewe ni mtu wa aina gani unayesifu na kutetea polisi kuua Raia?.. Umesahau kuwa leo kwa jirani kesho kwako?.. Au kwakuwa wewe unakula miguuni pa mfalme?.. Tazama. Umelalamika,umekejeli na kutukana bila kusema unatakaje.. Umeishia kwa kuuliza swali. Tanzania imeridhia mkataba wa haki za binaadam na inapaswa kuutekeleza.. Kitendo cha polisi kupambana na majambazi bado hakiwapi uhalali wa kumuua Mtu!.. Hata hivyo unajisahaulisha maksudi kuwa hawa wameapa kuwalinda raia na mali zao na raia huchanga kodi kuwanunulia uniform,silaha,magari,pingu, na mishahara yao!.. Hawa ni watumishi wa umma na kazi wanayoifanya si sadaka kwa Watanzania. Watekeleze kazi zao kwa standard inayotakiwa na si kukurupuka kuua!.. The Hague ipo kwa ajili hiyo na kama unadhani ushahidi hakuna basi huna sababu ya kuwatukana na kuwakejeli watua.. Stay tuned!.

Mallya,
Ni vizuri ukasoma comments ukiwa neutral..vinginevyo unatoa tu hoja ambazo hazina mashiko. Ni wapi nilipomtukana mtu kwenye huu mjadala! Mimi sijatetea polisi kuua raia,hoja yangu kwa wanaharakati ni kwa nini wanakuwa double standards kwa watu tofauti kila zinapotokea vurugu nchini? Na pia sitetei polisi kuua iwe issue lakini polisi kuuliwa sio issue. Macho ya wanaharakati huwa yanaona tu pale mtu anapokufa au kuumizwa mtu/watu kwenye mikusanyiko ya Chadema? Hata kama wanaandika report sijui za mwaka..as you say..but why cant they address these issues with the same level of respect and frequency?
 
Nenda tu straight useme kuwa kwakuwa hawakuwahi kushughulikia tatizo la aina hii na hili wasishughulikie.. Nadhani hoja yako ndipo ilipo.. Vinginevyo hayo mengine ni mepesi sana.
 
Mkuu Ubungoubungo,
Its not fair kusema LHRC ni wabovu sana wa sheria, umeomba nikutajie japo mmoja tuu, basi nimekuchagulia Prof. Chris Peter Maina..

Sheria yaa iko wazi, binti Mrembo katuwekea pale,
[SIZE=-1]PART 2. JURISDICTION, ADMISSIBILITY AND APPLICABLE LAW[/SIZE] [SIZE=-1]Article 5[/SIZE][SIZE=-1]Crimes within the jurisdiction of the Court[/SIZE][SIZE=-1]1. The jurisdiction of the Court shall be limited to the most serious crimes of concern to the international community as a whole. The Court has jurisdiction in accordance with this Statute with respect to the following crimes:[/SIZE]

  • [SIZE=-1](a) The crime of genocide;[/SIZE][SIZE=-1](b) Crimes against humanity;[/SIZE]
    [SIZE=-1](c) War crimes;[/SIZE]
    [SIZE=-1](d) The crime of aggression.[/SIZE]

[SIZE=-1]2. The Court shall exercise jurisdiction over the crime of aggression once a provision is adopted in accordance with articles 121 and 123 defining the crime and setting out the conditions under which the Court shall exercise jurisdiction with respect to this crime. Such a provision shall be consistent with the relevant provisions of the Charter of the United Nations.[/SIZE]
[SIZE=-1]Article 6[/SIZE][SIZE=-1]Genocide[/SIZE][SIZE=-1] For the purpose of this Statute, "genocide" means any of the following acts committed with intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnical, racial or religious group, as such:[/SIZE]

  • [SIZE=-1](a) Killing members of the group;[/SIZE][SIZE=-1](b) Causing serious bodily or mental harm to members of the group;[/SIZE]
    [SIZE=-1](c) Deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part;[/SIZE]
    Wakijipanga vizuri na kuitumia Chadema kama sampling, vifo vyote vya hivi karibuni vimetokea katika maandamano/mikutano ya Chadema, hakuna hata mara moja Chadema ndio walioanzisha fujo, bali mara zote waanzilishi ni polisi, kila siku wakijidai wanatumia risasi za mpira, kiukweli sijawahi kuonyesha mtu aliyepigwa na rubber bullet, rubber bulet inasababisha uvimbe na mtu kuanguka chini lakini haimtoboi, vifo vyote vimesababishwa ama na risasi za moto ama mabomu ya machozi at very close range hivyo kufumua!.

    Japo wanaokufa hatimaye sio wanachama/wafuasi wa Chadema, target ni wana Chadema!. Jeshi la polisi linayafanya hayo yote ili kuwatisha na kuwaogofya wananchi waiogope Chadema kama ukoma!.

    Hoja zikijengwa kwa umahiri na kusukwa zikasukika, JK na timu yake, wataitwa the Hague!.
[SIZE=-1]Article 7[/SIZE][SIZE=-1]Crimes against humanity[/SIZE][SIZE=-1]1. For the purpose of this Statute, "crime against humanity" means any of the following acts when committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population, with knowledge of the attack:[/SIZE]

  • [SIZE=-1](a) Murder;[/SIZE]
Kinachofanywa kwa Chadema na wafuasi wake ndicho hiki!.

Hakuna kisichowezekana chini ya jua, where there is a will, there is a way!.
Pasco,heshima kwako aisee. umenena vyema, pamoja na watu wengine wengi, kwamba murder is part of crimes against humanity. kwa kifupi ni kwamba, murder ipo kote, hata kwenye genocide, na war crimes. hivyo uwepo wa murder pekee haumaanishi automatically kwamba basi suala hilo ni la icc. kwa kifupi ni kwamba, niko expert kwenye hayo mambo, na nilisoma hiyo masters yake so najua ninachoongea.

unachotakiwa kujua, pamoja na kwamba kuna murder hapo, hiyo murder lazima iwe ilitokea as part of a widespread and or systematic attack against civilian population. murder kama haitatokea from the widespread or systematic attack kwa civilian, inakuwa ordinary murder to ya kushitakiwa kwenye mahakama hizi za kwetu hapa tz. angalia subjective and objective part of the offence ndo utapata ninachoongea. hapo ni kwenye crimes against humanity, ni lazima ingredient ya "widespread or systematic attack"iwepo. neno widespread na systematic lina maana kubwa sana. chukua mfano, systematic inamaanisha kitu kilipangwa systematically hata kabla ya kwenda pale katika scene. yaani polisi walishapanga toka kituoni kwamba wakifika pale watafanya hivi hivi na hivi (wataua raia, watamimina risasi kwa kila mtu etc...sasa pale inaonekana marehemu alibishana na mkubwa wa polisi, au kulikuwa na ugomvi ulioanza palepale haukuwa katika mpangilio.

hivyohivyo na kwenye genocide. ingredient moja wapo kubwa lazima iwe "termination of a particular group of people"ikiwepo hiyo, hata kama aliyekufa ni mmoja tu lakini kichwani wauaji walikuwa na nia hiyo (mens rea), basi genocide iko palepale...kwenye crimes against humanity, as long as ilikuwa part of widespread and systematic attack on civilian population tu, hata kama aliyekufa ni mmoja, iko palepale...sasa could you try to prove that what happened in iringa was part of widespread or systematic attack against civilian population?...au utaona hapo mauaji hayakuwa yamepangwa/ya mpangilio wowote ule-that premeditated plan haikuwepo, ilitokea tu pale kwenye scene and no one ordered an attack on civilian population, ila kwa individual person ambaye waliona labda ana maslahi yao kwenye kamera waliyochukua....mbona hawakuendelea na wengine?...download icc statute halafu usome Article 7...
 
“Crimes against humanity” include any of the following acts committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population, with knowledge of the attack:

  • murder;
  • extermination;
  • enslavement;
  • deportation or forcible transfer of population;
  • imprisonment;
  • torture;
  • rape, sexual slavery, enforced prostitution, forced pregnancy, enforced sterilization, or any other form of sexual violence of comparable gravity;
  • persecution against an identifiable group on political, racial, national, ethnic, cultural, religious or gender grounds;
  • enforced disappearance of persons;
  • the crime of apartheid;
  • other inhumane acts of a similar character intentionally causing great suffering or serious bodily or mental injury.
ivyo vikorombwezo vyoote vilivyoorodheshwa hapo chini, ni lazima viwe vilitendeka as part of a widespread or systematic attack against civilian population. wanapofanya hivyo lazima wawe na knowledge hiyo. sio kila ukiona murder tu, basi ni crimes against humanity....hapo sasa utasema polisi walikuwa kwenye widespread or systematic attack against a civilian population au walimshambulia mtu mmoja tu specifically?.....
 
Very good analysis.. Kuna wanaodhani kuwa kwenda The Hague ni kama unakwenda kituo cha polisi au serikali za mitaa. Kuna taratibu na lobbying za hali ya juu!. Ni lazima kuhakikisha kuwa unayo support ya kutosha ya mashirika wenzako waone kweli uliyo nayo ni issue ndipo uisogelee The Hague.
Deus F Mallya, heshima yako aisee. nakupongeza kwa kupost post nyingi sana ukiwakosoa watu. unfortunately, unapoandika unaamini unaelewa kitu, kumbe maskini hujui chochote kile kinachotakiwa kutendeka. kama upo karibu na mama kijo bisimba, naomba usimpoteze kwa kumwambia aende the hague, ata icho kituo chake cha Lwagikingira kitadharaulika kwasababu hawataamini kituo kinachoheshimika kama kile kuna watu wasio jua sheria na taratibu husika. kwanza kabisa naomba kudeclare kwamba, sote tumechukizwa na kifo kile, na tunapoandika njia mahsusi ya kushughulikia suala hili, sio kwamba sisi ni wana ccm, au labda tumefurahia mauaji..hapana...itatusaidia nini...nikifurahi kifo cha mtu ambaye ndo kwanza nimemjua siku alipokufa itanisaidia nini? hata kama ningekuwa namjua...zaidi sana nawaonea huruma watoto wake na mama yao, na ndugu zake, na ninawapa pole wote pamoja na wanahabari wote tz na dunia nzima. msiba ni wa kwetu sote.

sasa nije kwako Deus, kwenda the hague kuna utaratibu wake, na utaratibu huo upo kwenye icc statute yenyewe. haupo kwenye NGO au kwenye katiba ya chama cha siasa chochote kile...ukifuata utaratibu utafika unapopataka, usipofuata hautafika unapopataka. sasa, ili kupunguza maneno..napenda kukuambia kuwa, unapost tu lakini hujui lolote kabisa la yale yanayoendelea pale icc. PROVE YOURSELF KWAMBA UNAJUA DEUS...prove is...kwa maswali haya uyajibu...

  1. ni kwa process gani ya kisheria inatakiwa kutumika kulifikisha jambo icc?
  2. nani anaweza kufungua shauri icc?
  3. je? NGO, individual persons wanaweza kufungua shauri icc?
  4. katika mazingira ya kifo hiki cha daudi, ni kosa gani unafikiri mtu anaweza kufikishwa icc,..kosa lililopo kwenye statute ya icc.
  5. ni vitu gani mtu anatakiwa kuprove mahakamani ili kuthibitisha kosa utakalokuwa umelitaja hapo kwenye swali la nne.
  6. ni ushauri gani utampa bi simba juu ya kwenda au kutokwenda icc? na kwanini?
hayo ni maswali machache, ukijibu haya utakuwa umedhihirishia watu humu ndani kuwa unajua unachoongea au haujui. usikimbie maswali, wala usikimbie jf kwasababu ya hii shule niliyokupa, jitahidi kwa uwezo wako wooote uyajibu. HAULAZIMISHWI kujibu, kama haujui/hauwezi kujibu, sema kwamba nimeshindwa kujibu kwasababu sijui. UKINYAMAZA TU BILA KUJIBU CHOCHOTE utakuwa coward na tutadraw conclusion kwamba haujui unachoongea, na chochote ulichopost kwenye thread hii ulikuwa hukijui. silence means what?
 
Hiyo nchi kwenye red iko bara gani? Unakosoa kumbe na wewe kiazi!
ambaye hataelewa nilichoandika hapo ni mtu wa copy and paste. nimekosea badala ya kusema uholanzi, nikasema uhalanzi...lakini mbele yake nimesema the netherlands...sasa kitu gani kugumu kuelewa hicho?...au ndo wale wale wenye matatizo ya rubber band?....hadi macho yako hayaoni mzee?...pole.
 
Porojo at work sitashangaa kusikia huyo mama ni mbunge kiti maalum 2015. Ndio wanavyoanza hawa hata TUndu Lissu alikuwa hivi.

umenena vyema mkuu, tatizo watu wanakurupuka kutetea wasichokijua.
Wanafikiri mahakama za kimataifa ni kama kisutu.
Ni tatizo la ushabiki ulopitiliza, mpaka watu wanakuwa kama vipofu wakati wanamacho.
 
Deus F Mallya, heshima yako aisee. nakupongeza kwa kupost post nyingi sana ukiwakosoa watu. unfortunately, unapoandika unaamini unaelewa kitu, kumbe maskini hujui chochote kile kinachotakiwa kutendeka. kama upo karibu na mama kijo bisimba, naomba usimpoteze kwa kumwambia aende the hague, ata icho kituo chake cha Lwagikingira kitadharaulika kwasababu hawataamini kituo kinachoheshimika kama kile kuna watu wasio jua sheria na taratibu husika. kwanza kabisa naomba kudeclare kwamba, sote tumechukizwa na kifo kile, na tunapoandika njia mahsusi ya kushughulikia suala hili, sio kwamba sisi ni wana ccm, au labda tumefurahia mauaji..hapana...itatusaidia nini...nikifurahi kifo cha mtu ambaye ndo kwanza nimemjua siku alipokufa itanisaidia nini? hata kama ningekuwa namjua...zaidi sana nawaonea huruma watoto wake na mama yao, na ndugu zake, na ninawapa pole wote pamoja na wanahabari wote tz na dunia nzima. msiba ni wa kwetu sote.

sasa nije kwako Deus, kwenda the hague kuna utaratibu wake, na utaratibu huo upo kwenye icc statute yenyewe. haupo kwenye NGO au kwenye katiba ya chama cha siasa chochote kile...ukifuata utaratibu utafika unapopataka, usipofuata hautafika unapopataka. sasa, ili kupunguza maneno..napenda kukuambia kuwa, unapost tu lakini hujui lolote kabisa la yale yanayoendelea pale icc. PROVE YOURSELF KWAMBA UNAJUA DEUS...prove is...kwa maswali haya uyajibu...

  1. ni kwa process gani ya kisheria inatakiwa kutumika kulifikisha jambo icc?
  2. nani anaweza kufungua shauri icc?
  3. je? NGO, individual persons wanaweza kufungua shauri icc?
  4. katika mazingira ya kifo hiki cha daudi, ni kosa gani unafikiri mtu anaweza kufikishwa icc,..kosa lililopo kwenye statute ya icc.
  5. ni vitu gani mtu anatakiwa kuprove mahakamani ili kuthibitisha kosa utakalokuwa umelitaja hapo kwenye swali la nne.
  6. ni ushauri gani utampa bi simba juu ya kwenda au kutokwenda icc? na kwanini?
hayo ni maswali machache, ukijibu haya utakuwa umedhihirishia watu humu ndani kuwa unajua unachoongea au haujui. usikimbie maswali, wala usikimbie jf kwasababu ya hii shule niliyokupa, jitahidi kwa uwezo wako wooote uyajibu. HAULAZIMISHWI kujibu, kama haujui/hauwezi kujibu, sema kwamba nimeshindwa kujibu kwasababu sijui. UKINYAMAZA TU BILA KUJIBU CHOCHOTE utakuwa coward na tutadraw conclusion kwamba haujui unachoongea, na chochote ulichopost kwenye thread hii ulikuwa hukijui. silence means what?

Mkuu nakuheshimu sana!.. Ila siheshimu dharau zako kwangu kuwa sijui lolote!. Sipendi maneno 1000 yasiyo na maana! Wala sipo hapa kuwaelimisha watu (Even you) kwa ufupi sana nakuruhusu kunichukulia unavyotaka kulingana na uwezo wako wa kufikiri.
Nadhani kama wewe ni mmoja wa watuhumiwa jiandae tu wala usiweweseke kutaka kujua watu wamejiandaaje. Subiri Action. Kama pia wewe si mmoja wa watuhumiwa basi unaweza kuendelea kusubiri kama ambavyo ulisubiri hadi LHRC wakatoa tamko huku wewe ukiwa busy na mambo yako!. Si lazima kujua Silaha atakazotumia Adui yako vitani.
 
huna lolote wewe, mtihani mdogo tu huo umekushinda, maneno meeeengi kumbe patupu....kama wewe una knowledge ya kitu gani huwa kinafanyika icc, mbona umeshindwa tumaswali kama huto?...acha kujadili topic hii. kwa upande mwingine kwamba labda mimi naweza kuwa mtuhumiwa...hahaha, pole...hujui hata watuhumiwa wanaoweza kuwapo kwenye kesi kama hii ni akina nani.....haujui hata watuhumiwa watakuwa kina nani...swali hili limekushinda kujibu hapo juu, ungelijua icc ingechukua watuhumiwa wa aina gani katika tukio hili lakini bahati mbaya ni kwamba haujui kitu ndo maana unajaribu kujitetea kuniita mimi mtuhumiwa...mimi ni professional na expert wa international criminal law mzee. kama umeshindwa sema nikusaidie na uta appreciate kwamba kweli nimebobea kwenye suala hili na sina longolongo kama wewe. UMESHINDWA, NA UMEDHIHIRISHA KUWA HUJUI NINI ICC NA NINI KINAFANYIKA PALE. kaa kimya wanaume tujadili. wewe nenda kule kwenye udaku na jamii photos kaangalie picha.
 
Maneno yako yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.. Sikushangai tena!. Professionals huwa hawatumii fake names.. Unachoogopa ni nini? Professionals huwa hawatajitapi mbele za watu!..
 
ambaye hataelewa nilichoandika hapo ni mtu wa copy and paste. nimekosea badala ya kusema uholanzi, nikasema uhalanzi...lakini mbele yake nimesema the netherlands...sasa kitu gani kugumu kuelewa hicho?...au ndo wale wale wenye matatizo ya rubber band?....hadi macho yako hayaoni mzee?...pole.

Mwehu, hata kichwa akivaa chupi ya mkewe atalazimisha kuiita kofia........
 
Nenda tu straight useme kuwa kwakuwa hawakuwahi kushughulikia tatizo la aina hii na hili wasishughulikie.. Nadhani hoja yako ndipo ilipo.. Vinginevyo hayo mengine ni mepesi sana.

Nashukuru kuwa watu kama nyie bado mpo katika jamii yetu.. response zako nadhani ndizo zinafanya wajinga wajinga wanaovizia ubunge waogope na kukushambulia mahalai unatoa majibu mazuri.I wish ungekuwa mbunge wa palepale wanapopaota hawa jamaa ambao hata wakijitungia mtihani wanafeli. Na kura zingekuwa mobile yangu ingekuwa yako.

Tatizo la hawa jamaa wapo so much predictable that nullify the reason why all of are patriotic
 
huna lolote wewe, mtihani mdogo tu huo umekushinda, maneno meeeengi kumbe patupu....kama wewe una knowledge ya kitu gani huwa kinafanyika icc, mbona umeshindwa tumaswali kama huto?...acha kujadili topic hii. kwa upande mwingine kwamba labda mimi naweza kuwa mtuhumiwa...hahaha, pole...hujui hata watuhumiwa wanaoweza kuwapo kwenye kesi kama hii ni akina nani.....haujui hata watuhumiwa watakuwa kina nani...swali hili limekushinda kujibu hapo juu, ungelijua icc ingechukua watuhumiwa wa aina gani katika tukio hili lakini bahati mbaya ni kwamba haujui kitu ndo maana unajaribu kujitetea kuniita mimi mtuhumiwa...mimi ni professional na expert wa international criminal law mzee. kama umeshindwa sema nikusaidie na uta appreciate kwamba kweli nimebobea kwenye suala hili na sina longolongo kama wewe. UMESHINDWA, NA UMEDHIHIRISHA KUWA HUJUI NINI ICC NA NINI KINAFANYIKA PALE. kaa kimya wanaume tujadili. wewe nenda kule kwenye udaku na jamii photos kaangalie picha.

Hivi mnadhani ICC ni zile vurugu za simba na yanga anayeongea sana kuwa yeye anajua historia ya club sana ndie mkweli na mshindi?Majibu yako yapo too shallow na yamejaa kejeli.Deus yupo very clear na honest ktk hili ila wewe huna tofauti sana na siku nyingine ukiwa bored, unajivuta vuta hadi katika fikra.Sijui utaamka lini.

Hili suala la usitawi wa nchi na maendeleo ya jamii?Labda ni kuulize nani alishitaki wakenya?Hata judge wa mahakama akiona kuna haja anaweza lianzisha(Ocampo alikuwa maarufu kwa hilo).Sasa kuvuta attention za hao jamaa na kujenga support kuna hitaji njia nyingi sana.Na jinsi unavyoweza lobby ndivyo hata mataifa kama China yatakavyobanwa kuweka vipingamizi vya kijinga kwa nchi zinazoongwa vibaya kama zetu.
 
Nashukuru kuwa watu kama nyie bado mpo katika jamii yetu.. response zako nadhani ndizo zinafanya wajinga wajinga wanaovizia ubunge waogope na kukushambulia mahalai unatoa majibu mazuri.I wish ungekuwa mbunge wa palepale wanapopaota hawa jamaa ambao hata wakijitungia mtihani wanafeli. Na kura zingekuwa mobile yangu ingekuwa yako.

Tatizo la hawa jamaa wapo so much predictable that nullify the reason why all of are patriotic

Mkuu mimi huwa nashangaa sana pale mtu anapodharau na kupuuza kitu ambacho yeye hakuweza na hawezi kufanya. Mtu yuko tayari kuponda na kutukana watu awezavyo kwa nguvu zote. Lakini anasahau kuwa hicho anachokiponda na kukidharau yeye alishindwa kufanya na bado hayuko tayari kufanya. Mtu anatokwa na mishipa ya shingo bure bila kusema way fowward. Kuna haja ya kutoa elimu kubwa sana kwa Watanzania.
 
Nmesoma maelezo marefu ya mwanasheria alebobea wa international criminal law na mtihani alompa ndg deus malya.lakin badala ya kupima uwezo wa watu humu jf yeye bila kumumunya maneno atuambie kama polisi wa nchi hii wapo sahihi kuua raia wasio na silaha?
Hili litaondoa concentration ya watu wanaoumizwa na mauaji haya kusoma post za watu kama huyu mwanasheria asiyeguswa na mauaji haya
 
Kwa hiyo anataka kwenda the Hague kama sehemu ya kufanyia field ya alichosoma au ana sababu ya kushtaki huko the Hague? Unajua wakati mwingine kabla ya kukurupuka kwenda kwenye media na kutoa porojo ni vizuri ukapata ushauri hata nyumbani,co-workers nk. Sitaki kuamini kama huyu mama ameolewa,pengine social frustrations zinakuwa sababu ya yeye ku-behave hivi. Ni upuuzi wa hali ya juu kufikiria kushtaki polisi the Hague,wakati huna evidence ya kutosha polisi ndio waliomuua mwandishi! Hii ndio mara ya kwanza mtu kufa kwenye vurugu kati ya polisi na raia? Na vipi kuhusu polisi wanaouwawa na raia wakiwa kwenye utekelezaji wa majukumu yao? au polisi sio watu? Na ungesema nini kama katika vurugu zile angekufa polisi na sio raia? Na hii inadhihirisha ni jinsi gani wasomi wa Tanzania walivyo vilaza!

Mnatia aibu kuwaita wanaharakati,eti kituo cha sheria na haki za binadamu,BINADAMU WEPI? Binadamu maana yake ni nini kwa tafsiri ya Chadema? Mapigano yanatokea kila siku kwenye vurugu,imani za kishirikina,vita vya kikoo na kabila huko Tarime,wafugaji na wakulima maeneo mbalimbali,hawa wanaokufa sio binadamu,ila akifa mtu mmoja kwenye vurugu za chadema, Helen Bisimba anaamka usingizini! Shame on you! Lakini ukitokea wizi kwenye mabenki,mitaani kwenu mnapoishi,mnawataka polisi hawa wakasaidie! Hatujawahi kusikia hata siku moja Helen Bisimba na kituo chake,au watu wa chadema wakienda kupambana na majambazi wenye silaha wanapovamia mabenki,bar,mahotelini..na kwingineko. Hivi hii nchi ina watu aina gani?

Hivi nawe unajisifia msomi kwa utumbo huu wa kenge!?, hujakichambua ulichokiongea ila umetumia chuki, hisia na ubaguzi!
 
Back
Top Bottom