Bi Hellen, tunataka taarifa iliyokwenda The Hague si maneno matupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi Hellen, tunataka taarifa iliyokwenda The Hague si maneno matupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjomba wa taifa, Sep 4, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Bi Hellen Kijo Bisimba ametangaza nia ya kituo hicho kulishitaki jeshi la Polisi la Tanzania kwa Mahakama Kuu ya Kimataifa iliyopo nchini Uswisi, The Hague kutokana na mauaji mengi ambayo yamekuwa yakifanywa na Polisi dhidi ya raia lilikiwemo la mwandishi Daudi Mwangosi. Nadhani ingekuwa busara zaidi kama kiongozi huyo angeutangazia umma wa watanzania kuwa tayari wameshafikisha malalamiko hayo na sio kutangaza kuwa wana nia ya kushitaki.

  Kauli aliyoitoa inafaraja na ni ya kupongezwa isipokuwa imeonekana ya kisiasa na si ya kisheria. Peleka kwanza hao wapuuzi THE HAGUE tusubiri utekelezaji. Kama kuna pesa inahitajika weka namba ya simu hadharani wananchi wachange. TUMECHOSHWA NA USHENZI WA SAID MWEMA.

  CCM ndio huwa watangaza nia, si chombo makini kama LHRC.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mumshitaki na amiri jeshi mkuu na waziri wa mambo ya ndani
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Bi helen naamini utafanya ulichotuahidi,maana mauaji zaidi yanaendelea bila kuchukua hatua wapendwa wetu wanaisha.
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Wanaweza kushitaki au ni maneno ya kila leo
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi na sisi wananchi tunaoathirika tunachukua hatua gani??? Nasisi inabidi tu-demostrate kuonyesha kutoridhika kwetu na kushinikiza serikali iwajibike.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Common, The Hague Justice Portal is in The Netherlands, NOT SWISS
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jiografia yako ushasau?
  The Hague haiko Uswiss bali ipo Uholanzi.
   
 8. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na dhaifu aburuzwe the hague!
   
 9. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  kweli...uswisi zipo hela zilizoibwa huku
   
 10. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Naomba nichukuliwe km shahidi pindi watakapopelekwa The Hague.
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni msimamo niliokuwa nasisitiza kwa Vituo vya Sheria nchini. Nina amini kuwa uamuzi huu utasaidia hata kupunguza safari za JK kwenda nchi za nje pale The Hauge itakapotoa Hati ya Kukamatwa kwa Rais JK, Said Mwema na Waziri wa Mambo ya Ndani, Vuai Nahodha (wakati huo) na Nchimbi kwa sasa. Ni uamzi sahihi. Na sisi wananchi tuaandae maandamano yasiyo na kikomo KATIKA VIWANJA VYA UHURU NCHI NZIMA
   
 12. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa tumewiva vya kutosha! kifo cha huyu mwandishi ndio kingekuwa moja ya sababu ya kumtoa DHAIFU madarakani!
   
 13. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  The Hague iko uswiss...hahaha,jamani we nawe ni mwandishi wa habari au?....The Hague iko uhalanzi bro, the Netherlands...halafu kwa kifupi, pale LHRC ni wabovu sana wa sheria, na hawana wanasheria waliobobea kwenye masuala ya sheria za kimataifa, hakuna hata mmoja, kama yupo mtaje pale...wote hawajui zaidi ya kupiga tu kele....

  Nashauri watafute ushauri labda kwa wanasheria walioko pale ICTR arusha, ila pale, kuanzia kijo wote hawajui sheria inayohusu hayo..ndio maana hadi leo hii wanaamini kwa matendo yaliyofanywa tu na polisi yanafikia kiwango cha kushitakiwa the hague, pale wamejaa vilaza watupu.
   
 15. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndio maana nimewawekea link ya ICTR statute hapo juu, watu wajisomee. tuache kudanganywa na wanaharakati

   
 16. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama kituo hakina hela aseme watu tuchangie ili Mwema, Nchimbi, JK wafikishwe huko faster
   
 17. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Bi hellen anahitaji kupewa moyo na nguvu,maana kazi anayofanya sasa na aliyokwisha fanya ni kubwa sana katika jamii yetu ya tanzania.
  Binafsi sina shaka na ahadi yake sema ,ukweli ni kuwa anapambana serikali ambayo SI SIKIVU!
  Live long mama hellen kijo.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kile kkituo wanajua tu kupiga kelele ila kuongea point za kisheria wako nyuma sana. walitakiwa waliongee hili kipindi kile cha mauaji ya arusha, yale kidogo ndo yalikuwa yanaelekea kwenye crimes against humanity, lakini hili la kumuua mtu mmoja mmoja hili ni murder ya kawaida na icc hawawezi kumpokea.
   
 19. m

  markj JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hivi kweli tunataka watu waende the hegue kwa style ya kumtegemea bi hellen jamani? nani kawadanganya kwa hayo, ile ya dr uli imemshinda na akiwa yeye ndo alikwenda kumuokota porini! THE HEGUE sio chooni pale ati kila mtu anaenda tu kijinga jinga, kwanza kule ni kwa watu wenye akili zao, manasheria wakule wameenda shule na wanaelimu ya kutosha na experience sio wenu mnai wateu huku.

  Sasa kama mnataka tanzania ijadiliwe the hegue njia ni moja tu kama wanazofanya nchi zingine kwa sasa ulimwenguni, so WATZ tuyafanye hayo basi mjue CNN, BBC NK tutakuwa ndo headlines huko hegue na si kuwategemea wanaharakati wa kibongo.

  Ivi THE HEGUE wakuu mnaichukuliaje sio mahakama ya kisutu ile jaman, tena ingeanza na MKUU WA AWAMU YA TATU aliyewatandika wazanzibar vibaya sana, hawa wanaojifanya kina bi helleni hiyo UN tu imewashinda hata kusimama nje ya geti lao, ndo iwe HEGUE wakuu, mkisikia kiongozi wa kiafrika kafikiswhwa hegue embu angalieni wananchi wa hiyo inchi walichokifanya, sio tunataka HEGUE na huku tunataka kuendelea kuuza sura posta,m city,bar,samakisamaki! ooooh
   
 20. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  haina tofauti na yule Chinga wa Tunisia aliyejichoma moto. Walianzia pale Watunis
   
Loading...