Bi harusi atoroshwa, Kitchen Party Oktoba 31

Bi harusi atoroshwa, Kitchen Party Oktoba 31

Walahi hata mie ningemtorosha, hilo jichooooo!! Aaah tungeonana wabaya tu! Yaonekana mtoto anakuliza kabisa mzee mzima huyu! Kimbieni mwaya tena kimbieni haswaa. Wakija kumwona kitumbo ndiii!
Shaby oye!
 
binti mzuri aliemchukua anafaidi..
Aisee hata aliekuchukua wewe kama kapendelwa hivi na mbigu!!
Dah, huwa unanshibisha sana mate tinna, maana kila nikiangalia avatar mate hunitoka halafu nameza!
Hio picha nimeizumu mwaka huu hadi nahisi najua rangi ya bikini uliovaa...

Kila... eh! Hivi hapa ni jukwaa husika!
 
KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya ndoa.Alipofika kituoni hapo, mwanamke huyo alimtaja mtu mmoja kwa jina moja la Shaban kwamba ndiye aliyefanya kitendo hicho.

​
View attachment 195212
Bi harusi mtarajiwa, Saida Said (18) aliyetoroshwa siku chache kabla ya ndoa.

​
Akizungumza na Uwazi juzi, mmoja wa ndugu ambaye hakupenda jina lake lichapishwe gazetini alisema mama huyo amekuwa akihaha kwa binti yake kotoroshwa na mwanaume huyo tangu Septemba 25, mwaka huu ambapo kila akimpigia simu hapatikana hewani.
Jeshi la polisi bado liko ndani ya msako mkali ili kuhakikisha binti huyo anapatikana na hatua za kisheria zinachukuliwa kwa mwanaume huyo.​

View attachment 195211
Muonekano wa karibu zaidi wa binti Saida Said.

​
“Mpaka sasa mama wa bi harusi hajatoa taarifa kwa bwana harusi wala ndugu zake, amekuwa akimtafuta kimyakimya huku akimuomba Mungu binti yake apatikane kwa vile mahari alishalipwa, sasa anaogopa ikifika siku ya ndoa itakuwa aibu kubwa,” alisema ndugu huyo.
Ndugu huyo alisema Saida alitarajiwa kufanyiwa ‘kitchen part’ Oktoba 31, mwaka huu na kufuatia na ndoa Novemba 6 huku ikidaiwa kuwa, upande wa bwana harusi michango inaendelea kama kawaida.
Jalada la uchunguzi kuhusu kutoroshwa kwa bi harusi huyo linasomeka Kumbukumbu; BUR/RB/10170/2014 KUTOROSHA.
Ndo nshajua tena kupitia JF,mie siji ila mahari rusheni kwa Tigo Rusha wala si kwa tiGO Pesa
 
tinna cute my "compliment" which is actually the truth, has all the strings, ropes and even an iron chain attached! I mean what I said, and a simple thanks wont do!
 
Last edited by a moderator:
Aisee hata aliekuchukua wewe kama kapendelwa hivi na mbigu!!
Dah, huwa unanshibisha sana mate tinna, maana kila nikiangalia avatar mate hunitoka halafu nameza!
Hio picha nimeizumu mwaka huu hadi nahisi najua rangi ya bikini uliovaa...

Kila... eh! Hivi hapa ni jukwaa husika!

tumshukuru mungu kwa uumbaji wake!!!!!!!
 
Utakuta hichi kitoto kina BF wake na wameamua kutoroka pamoja kwa kuwa tu alitaka kuozeshwa mtu mwingine.

Wamejuaje kama ni Shabani kamtorosha?? wangesema ukweli tu katoroka na Shabani, imemkolea ya shabani.

Haya mbona yapo mengi tu Tanzania hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom