Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Toto zuri kwa sura dah!!
Hahahaah,,,,,,,,uswazi huyo ni bi kizee kabisa.
The queen of sweet reggae hakushindi wewe lakini
hapana huyu kazidi loo
[FONT=courier
new]![]()
[/FONT]
[FONT=courier
new] KAZI sana! Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha
Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18)
(pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya ndoa.
Alipofika kituoni hapo, mwanamke huyo alimtaja mtu mmoja kwa jina moja
la Shaban kwamba ndiye aliyefanya kitendo hicho.
[/FONT]
[FONT=courier
new]![]()
Bi
harusi mtarajiwa, Saida Said (18) aliyetoroshwa siku chache kabla ya
ndoa.
[/FONT]
Akizungumza na Uwazi juzi,
mmoja wa ndugu ambaye hakupenda jina lake lichapishwe gazetini alisema
mama huyo amekuwa akihaha kwa binti yake kotoroshwa na mwanaume huyo
tangu Septemba 25, mwaka huu ambapo kila akimpigia simu hapatikana
hewani.
Jeshi la polisi bado liko ndani
ya msako mkali ili kuhakikisha binti huyo anapatikana na hatua za
kisheria zinachukuliwa kwa mwanaume huyo.
![]()
Muonekano
wa karibu zaidi wa binti Saida Said.
Mpaka sasa mama wa bi harusi
hajatoa taarifa kwa bwana harusi wala ndugu zake, amekuwa akimtafuta
kimyakimya huku akimuomba Mungu binti yake apatikane kwa vile mahari
alishalipwa, sasa anaogopa ikifika siku ya ndoa itakuwa aibu kubwa,
alisema ndugu huyo.
Ndugu huyo alisema Saida alitarajiwa kufanyiwa kitchen part Oktoba
31, mwaka huu na kufuatia na ndoa Novemba 6 huku ikidaiwa kuwa, upande
wa bwana harusi michango inaendelea kama kawaida.
Jalada la uchunguzi kuhusu kutoroshwa kwa bi harusi huyo linasomeka
Kumbukumbu; BUR/RB/10170/2014 KUTOROSHA.
Source:Global
Publishers
Kumbe kigezo cha uzuri ni uso tu....??!!