maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,455
Mambo ya shebby duu hayo....atakua ana bonge ya machine
Mambo ya shebby duu hayo....atakua ana bonge ya machine
Alafu huyu Shabani atakuwa wa kanj bhai maana hakukubalika ukweni.
Saidaa weee hata mie nisingekubali
18 hii namba inanikumbusha mengi....
Bi harusi mzuri loh shabani anahaki ya kuiba huo mzigo aiseee
18 hii namba inanikumbusha mengi....
Tumeenda kwenye 23. Hii ndo habari ya mjini
Ha ha ha shem.. Inawezekana shaby hana kisu kirefu ndo maana wazazi wamepokea mahari toka kwa shefa mwingine.. Ila binti ana mahaba ya dhati kwa shaby.. Chezea mahaba wewe..
Mahaba nipige shoti..
uswazi bwana 18 yrs anataka kuolewa?
unafata wewe ngoja niweke mambo sawa nikutoroshe!!!!
Bi harusi mzuri wacha weee
wazazi wengine sijui wakoje! binti 18 badala wampeleke shule wanataka aolewe!!! hatari sana. watoto wadogo kama hawa ndio wanaendaga kuliwa tigo huko kwa waume zao maana ni rahisi sana kudanganyika bado wadogo.
uswazi tuachie sisi tusio na akili sawa,nyie endeleeni na masaki na oysterbay zenu.mbona huyo mkubwa sana?