Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

wajelajela GWAAAAAAAAAAAA!

karibuni dodoma ndugu zangu!nina ''unfinished stuff'' pale chalinze ya dodoma before i see wanachama wawili kanda ya kati

I MISS TEAMO!
I REALLY MISS HIM/HER

Nimeambiwa kifungo chake ni both mchana na usiku ndio maana siku saba zimekuwa nyingi
Kwenye nyeusi you have been warned GENDER CALLING
 
wajelajela GWAAAAAAAAAAAA!

karibuni dodoma ndugu zangu!nina ''unfinished stuff'' pale chalinze ya dodoma before i see wanachama wawili kanda ya kati

I MISS TEAMO!
I REALLY MISS HIM/HER

Teamo atatoka na nguvu zaidi... in fact kama madiba...
 
Aaaah, ww toka jana nimekwambia nipeleke taratibu utanipoteza, sasa katiba iko wapi niperuzi kwanza?

Ongea na mhazini nafikiri anayo katiba pia MJ1 katiba anayo na rules pia anazo anazijua
 
wajelajela GWAAAAAAAAAAAA!

karibuni dodoma ndugu zangu!nina ''unfinished stuff'' pale chalinze ya dodoma before i see wanachama wawili kanda ya kati

I MISS TEAMO!
I REALLY MISS HIM/HER

Mmh....The King must realllly be THE KING!~!!
Carina amejoin juzi tuu and He/She is already missin the KING.....
How wonderful...:dance::dance::dance:
 
ze finest, hv kwenye matatu kuna rums?
 
Hii sent via mobile ni style ya Smiles anapokuwa gesti. Sasa Mamushka sijui yuko wapi yailahi toba.... Biggie anaaza kuingiwa kawivu flani hivi:dance::dance::dance:

Afu wewe.....mbona jana ukanikimbia???
au ujanja wote unaishia JF....:A S 13:
 
Mmh....The King must realllly be THE KING!~!!
Carina amejoin juzi tuu and He/She is already missin the KING.....
How wonderful...:dance::dance::dance:

Leo mboja huja post via mobile?:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Afu wewe.....mbona jana ukanikimbia???
au ujanja wote unaishia JF....:A S 13:

Smiles jamani....kwanini unabanana na huyu mzee, hebu tafuta vijana bwana....khaa unaniuzi, yaani urembo wako uumaizie na huyu mzee?
 
Smiles jamani....kwanini unabanana na huyu mzee, hebu tafuta vijana bwana....khaa unaniuzi, yaani urembo wako uumaizie na huyu mzee?

hahahahah......
si unajua mwenyewe anavyojiletaga kwangu....
sasa jana nikataka niuone ujanja wake feki...kumbe hamna kitu!
Usijali my dia....i got my precious prince!
 
Back
Top Bottom