Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Mweeh asante bestlady wangu mwaya...hp kamrembo hakajambo

Hebu ngoja kwanza alyeandika hii post ni bht au mamushka?

Are you you or are you her?:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Labda kama hajakupa daily report ambayo alipaswa kuitoa kwako tokea jana nafikiri amelipa kwa cheque
Aaaah, ww toka jana nimekwambia nipeleke taratibu utanipoteza, sasa katiba iko wapi niperuzi kwanza?
 
RR the Saint....mwaka huu Pope kaamua, na mi ntakuwa mwenye heri

Karibu kundini kwangu st. to be, sijasoma kati ya mistari lakini.....:love:.....halafu nimeipenda hii 'Posted via Mobile...
 
And why are you doing this to your only and only Paco? Biggy z angry! Malaria haikubaliki mamushka ujue!
forgive me and my wrongs na kila 'sambi'. Ntalala kwenye chandarua na ntatembea nacho pia kwa kinga zaidi
 
Karibu kundini kwangu st. to be, sijasoma kati ya mistari lakini.....:love:.....halafu nimeipenda hii 'Posted via Mobile...

Hii sent via mobile ni style ya Smiles anapokuwa gesti. Sasa Mamushka sijui yuko wapi yailahi toba.... Biggie anaaza kuingiwa kawivu flani hivi:dance::dance::dance:
 
Karibu kundini kwangu st. to be, sijasoma kati ya mistari lakini.....:love:.....halafu nimeipenda hii 'Posted via Mobile...
RR since u r a saint, najua umenisamehe jameni.
Halafu rr nimetoa onyo kuwa hakuna kusoma nyua ya nilichopost wala ktkt, soma kama ilivyo
 
biggy na rr lol...kumbe its via mobby eeh. Niko mu matatuu saa ndo nabofya bofya hapa
 
biggy na rr lol...kumbe its via mobby eeh. Niko mu matatuu saa ndo nabofya bofya hapa nimeomba kwa konda
 
RR since u r a saint, najua umenisamehe jameni.
Halafu rr nimetoa onyo kuwa hakuna kusoma nyua ya nilichopost wala ktkt, soma kama ilivyo

Mimi huwa sisamehi, kwa sababu siamnini katika makosa...mimi sijui kusoma kati ya mistari bana....infakti kondishen za u-st. haziruhusu hivyo...
 
wajelajela GWAAAAAAAAAAAA!

karibuni dodoma ndugu zangu!nina ''unfinished stuff'' pale chalinze ya dodoma before i see wanachama wawili kanda ya kati

I MISS TEAMO!
I REALLY MISS HIM/HER
 
Back
Top Bottom