Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
KEY WORD: Yamesimama.Samahani nilipitiwa na hii yuziful point.
Ngombe dume hazeeki mpaka atinge kaburini. Na akifa maini hubaki yamesimama!

Samahani nilipitiwa na hii yuziful point.
Ngombe dume hazeeki mpaka atinge kaburini. Na akifa maini hubaki yamesimama!
yaa man, mpaka atakapochinjwa of-course!
Uzuri ni kuwa ng''ombe hazeeki maini!
Wewe tu...ondoa shaka....!
Ila hakikisha ile mission ya kumpa likizo Mkwere inakamilika vizuri...sawa Pastor?
Acha kabisa wewe! Ng'ombe mzee maini yake yamekomaa! Usicheze na Ng'ombe underage ama vijana...thats fact!
Maono niliyo nayo hakuna uchaguzi mwaka huu, niliulizwe sababu maana hamkawii kunihushisha na uhaini!
Hebu waeleze vijana...Football mwisho wake ni 35 yrs.
(Ila ongoea taratibu akina Smile wasijesikia kuwa hapo ni external agents ...nyagi na supu ya pweza vinafanya kazi yake)😱hwell:😱hwell:😱hwell:😱hwell:
yaa man, mpaka atakapochinjwa of-course!
Hebu waeleze vijana...Football mwisho wake ni 35 yrs.
(Ila ongoea taratibu akina Smile wasijesikia kuwa hapo ni external agents ...nyagi na supu ya pweza vinafanya kazi yake)😱hwell:😱hwell:😱hwell:😱hwell:
:smiling::smiling:Ng'ombe dume hachezi football:A S 103::A S 103::A S 103:
Hebu waeleze vijana...Football mwisho wake ni 35 yrs.
(Ila ongoea taratibu akina Smile wasijesikia kuwa hapo ni external agents ...nyagi na supu ya pweza vinafanya kazi yake)😱hwell:😱hwell:😱hwell:😱hwell:
Kuna exception chache kwenye football, David Weir anacheza akiwa na 40, Madaraka Selemani alikuwa bado anatisha akiwa na miaka 50, Paulo Maldini akiwa na 40! Ila Lunyamila alistaafu akiwa na 31 lol!
Rev. umesahau normal distribution wewe?
Utatumiaje time yako kuhangaika na +/- 5%? Ongelea hao waliobaki!
:whistle:i