Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

rev masanilo....nilikosa yako ibada ya kuwekwa wakfu
 
Ukinipa ban nakusemelea !

Second Warning! POWER CALLING is forbidden as per our New CALLING rules at JF. You have been notified!

MODS hebu do se needful kwa hii mutu ya kuchunga kondoo sa bwana.
 
Finaly we have the home gal in the house,
Niliogopa nikahisi umetoweka ukaliwa na fisi,
U were truly missed by jamvi n all brothez
 
Finaly we have the home gal in the house,
Niliogopa nikahisi umetoweka ukaliwa na fisi,
U were truly missed by jamvi n all brothez

Hivi na wewe ulipatwa na masahibu gani? Mhhh...au ndo nyumba zimekuwa nyingi hadi unakimbia mitaa?
 
Hivi na wewe ulipatwa na masahibu gani? Mhhh...au ndo nyumba zimekuwa nyingi hadi unakimbia mitaa?

Kiongozi wangu mimi nipo siku hizi nyingi kazi
wengi walihisi loo! nimebadili yangu makazi
Huyu mkoloni kanigeuza wake Kijakazi
 
Ok, ok. Ok....that's very good of you..Mr God's servant!

Mhhhh....wengine ni wazazi na tunawapenda sana wajukuu zetu. Inabidi uhakikishe usalama kwanza. Chakachua ziko kila mahali mkuu.

Kwani siyo hilo ulilonipatia au?

Ulitaka jibu la kuchakachua hako ka Model! kwi kwi kwi bwa bwa bwa
 
Mkinionea bht mwambie namsubiria pale kaunta nimeishaagiza tayari
 
Uling'atuka baada ya kuwamaliza kondoo wote:biggrin1:

Nigewamaliza hawa mnaofukizia wangetoka wapi? Kila mtu ana kihampa chake kidogo...akikimaliza ni bora abwage manyanga.

Changu tayari!!
 
Nigewamaliza hawa mnaofukizia wangetoka wapi? Kila mtu ana kihampa chake kidogo...akikimaliza ni bora abwage manyanga.

Changu tayari!!

Retired maj gen inakuwaje tena? Si imekubalika ng'ombe wa kiume hazeeki???
 
Back
Top Bottom