Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Kumbe avatar zinachukulika siku hizi? Maisha rahisi kabisa aisee

Heeee kumbe we bado uko naive kiasi hicho?

Kwani hujaona jinsi watu wanavyohangaika na avatars humu ndani kama ile ya Rose?

Ujue pia humu wapo wazee wa kula ugali kwa picha ya samaki, au hulijui hili? Mdogo mdogo tutawafikisha tu...we don't want anyone to be lost..Ngonja tuanze mikakati mipya ya kuwa na chumba cha ushauri...!
 
ugali kwa picha ya perege wa ziwa la nyumba ya Mungu....hahaaaaaaaaa
Umenikumbusha wale samaki pale, si kwa wapare pale sa kwa nini wajihini au ndo bajeti...
 
Inawezekana..... lakini ukumbuke kuwa hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Namna hiyo kitu kina-appetize sana hata akikutana na samaki 100 wote anafuta!
 
Muulize akija, halafu POSTED VIA MOBILE wala sitokuwa na wasiwasi na wewe tena maana nimeishaelewa ni kwanini
Simuulizi wala nini, sitaki kesi mimi, nimzo huko kwa pilato za kutosha ....
kwani ulikuwa na wasiwasi? Wa nini tena?
 
Inawezekana..... lakini ukumbuke kuwa hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Namna hiyo kitu kina-appetize sana hata akikutana na samaki 100 wote anafuta!

Hahaaaa hii 'impya' aisee
 
Simuulizi wala nini, sitaki kesi mimi, nimzo huko kwa pilato za kutosha ....
kwani ulikuwa na wasiwasi? Wa nini tena?

Si unajua dah!! Anywayz ngoja kwanza tusubiri tumpigie Dk Slaa kura jumapili
 
Inawezekana..... lakini ukumbuke kuwa hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Namna hiyo kitu kina-appetize sana hata akikutana na samaki 100 wote anafuta!

Dah kwahiyo kumbe unaweza kufa kwa hamu badala ya tamu hii kitu hatari sana kumbe ndio maana watu wakinyimwa uwa wanafikia hatua ya kuua
 
Hebu muulize JS akukumbushe kisa chake na Mganda

Kwnai hujui kuwa hata kwenye vitu vya kawaida,.. value (for utility) inakuwa maximum kabla ya possession and first use?
 
Ohoooo orait orait noted with thanks
Retired Maj Gen DC (1947)...dc
 
Back
Top Bottom