Tatizo la CAMERA kwenye tecno C9

Kiwangwa Son

Senior Member
Nov 29, 2018
178
115
Habari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu

Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri inafanya kazi kama awali.

Lakini limeibuka tatizo lingine baada ya kutengeneza tachi yani CAMERA ya simu imepungua uwezo imekua na ukungu na chenga sana kiasi cha kushindwa kuscan hata document muhimu .

Nimekuja kuomba msaada kama naweza nikarekebisha hili tatizo au ndio basi tena ,Nawasilisha.
 
pole naona uzi haujajibiwa duh 😊
 
Rudisha Tena kwa huyo fundi wako akurekebishie
 
kanunue smartphone mkuu. Tecno sio smartphone bali ni demo ya smartphone. Take the real thing not demo of it.

Mambo mengi, mda mchache.

simu ni nyingi ila smartphones ni chache.
 
Mi natumia tecno toka nimeanza kutumia smartphone, haijanisumbua, usisikilize watotowa shule tengeneza simu yako. Japo ni tecno ila yangu inakaa na chaj siku 3 wenye samsung, oppo, sijui iphoneza milioni 2, wanatembea na powerbank, naweza hata kuchaj simu zao kutoka kwenye tecno yangu whatsap napata, simu napiga na kupokea, ina functions nyingi kuliko hata samsunga ambazo ni automated kwa ajili ya kukupunguzia kazi why uikandia tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana mkuu,ngoja nifanyie kazi hili
 
Mkuu akiirejesha si ndo itanyesha mvua kabisa...kama ishaanza na ukungu
Mafundi wengi hawapo makini mkuu!!
Wakati wanareplace digitized touch screen au LCD wanatakiwa wahakikishe vitu vyote viko sawa kabla ya kufunga.
Inabidi aifungue asafishe camera kuondoa vumbi kwenye lens au abadili kamera kabisa.
 
Mafundi wengi hawapo makini mkuu!!
Wakati wanareplace digitized touch screen aj LCD wanatakiwa wahakikishe vitu vyote viko sawa kabla ya kufunga.
Inabidi aifungue asafishe camera kuondoa vumbi kwenye lens au abadili kamera kabisa.
Nina mashaka akiipeleka itarudi na tatizo lingine...
 
Back
Top Bottom