hii habari imesambaa hadi whatsApp ...naona aliyeandaa hii list anasoma OPEN or UDOM.
haya mambo ya vyuo yapo since miaka ya nyuma na yanaishiaga JF(tunabishana wee siku zinaenda)...So iweje now hadi kwenye ma-whatsApp habari inasambaa haina link(source)
Link kibao ambazo ni mahususi na zimebobea kwa Kazi hio zipo against na hio list yako........bwana mkubwa ndo kusema hio source yako inatumia vigezo vya kipekeeee kuliko hizo zingine..! BTW HUKO NI KUJIFARIJI TUU
hivi neno linalotumikagaa ni BEST UNIVERSITIES or TOP UNIVERSITIES...............Mkuu me naona hio list yako ni ya uongo......!!!!!!
stand to be corrected!
ifm na mitihani ya multiple choice
Najua unaumia sana kuona OPEN na UDOM wanafanya vizuri Tanzania
Even UDS multiple choice imeanza last semister
Even UDS multiple choice imeanza last semister
Mkuu mim siumii hata kidogo.......nawakubali kichizi udom na open coz wametoa fursa nyingi za Ajira na pia watanzania kupata elimu.(lecturers and students).
Ahsante sana kwa kuwakubali, they really deserve to be there kwa mwaka huu...wamerekebisha mambo mengi sana
UDOM,UDOM,UDOM watakielewa tu.Mzumbe tupakule,Ardhi tupa kule.Wakuu vipi mbona mnapitwa na chuo mnachodai cha kata?.
Ndio tumeanza naamini baada ya miaka michache mbele tutashika namba moja au mbili mana sio kazi rahisi chuo kilichozaliwa 20kupigaihatuatua hiyo.
Kejeli zenu zinatusaidia kufanya maboresho zaidi nakumbuka kwenye orientation kuna professor alisema "inaniuma sana chuo chetu kuitwa cha kata sasa tutaandaa njia mbadala za kutupandisha kitaaluma zaidi ili tuone sisi na wao nani ni kata".Karibuni mlioumia mjibu hii post.MU mpo?
hahahaha Mkuu unasoma bachelor of what? hapo udom
Dr of medicine, ila Mdogo angu anachukua degree ya nursing hapa hapa UDOM .
sasa we ng'ang'ana na sociology UDSM.
Mkuu hivi Bsc. MD ya pale muhimbili hukuipenda nini?
just challenge tuu..... (usinifikirie vibaya)
BTW sisomi sociology Mkuu.
ha ha ha,mkuu hilo swali au tusi?
siku hizi ni simplification tu hakuna mikazo..Even UDS multiple choice imeanza last semister
Udom miaka michache ijayo kitakuwa ndo chuo bora Tanzania na ulimwenguni. Japo kimepondwa sana miaka ya nyuma Kuwa ni chuo cha kata. Big up sana udom kwa mikakati yenu madhubuti ongezeni juhudi zaidi.
Hakuna rank ya hivyo!
mkuu umezidisha hapo,, unajua ulimwengu vizuri?
Acha ubazazi hakuna cha msuli? ila kuna nini sasa? unabishana na mimi nliepoteza ndugu zangu weng kisa walilegeza msuli waka disco? Hapa ni msuli tuu na kesho tunaenda kukiamsha tena so uwe unafanya reserch kwanza kabla ujaja hapa miaka inaenda vitu vinabadilika amka, udom sio ile ya 2007 ngja tukae juu hapo ndo mtaelewa