Best Tanzanian university rank 2015

Duh!haya ni maajabu ya ulimwengu jaman,yani udom nayo imezipiku mzumbe,ardhi na hubert kairuki?

Naona udsm inazidiii kushukaa kiafrikaa katika ubora wake imeporomoka mpaka nafasi ya arobani kitu...... Now days hakuna kitu paleee.... Imebaki history tyyuu
 
http://buzzkenya.com/latest-ranking-for-best-tanzanian-universities-released/ niliipata hapa hiyo ranking
 

Siamini kama UDOM ni chuo bora kitaaluma kuliko Mzumbe labda mnaangalia majengo na siyo INTELECTUAL inayozalishwa
 
Siamini kama UDOM ni chuo bora kitaaluma kuliko Mzumbe labda mnaangalia majengo na siyo INTELECTUAL inayozalishwa
watu wamefanya tafiti Africa nzima pole sana najua umekariri mbona ardhi wapo 11 huko na wapo kimyaa na mzumbe kitaZidi shuka kama udsm cheki hii rank kwa Africa sub sahara
http://www.webometrics.info/en/Ranking_africa/Sub_saharan_Africa
 
OUT , PAPER ZAO ZA mba (finannce) wanacomplecate saana

True mkuu mfano kuna St. something ile mtu unakuta anasoma course hadi 11 matokeo yake anachanganyikiwa wanasoma kifaransa kwa semester moja sasa hivi wameanza kusoma Kichina kwa Semester moja ni chuo naona kipo nje ya masomo ya vyuo vikuu bongo Dini wanafundisha zote kwa wanafunzi dini ina nafasi gani kwenye professional Kwa kweli ST. AUGUSTINE WAKO SHALLOW.
 
Wapi University of Iringa?formerly Tumaini University-Iringa College,
 
Hutaniondoa kwenye dhana, naomba uniwekee source!!!! mimi nimepitia hapo na nimekuwekea link ya 2015 ni tofauti na kilichowekwa hapo sasa unang'ang'ania tu bila kuweka chanzo huo ni u great thinker gani?
http://www.webometrics.info/en/Ranking_africa/Sub_saharan_Africa
http://buzzkenya.com/latest-ranking-for-best-tanzanian-universities-released/
 
kigezo kinachotumika hapo ni chuo kinachotafutwa zaidi kwenye mtandao! Hakuna cha ubora wa elimu hapo vyuo vya bongo vyote madesa oriented watu hawaendi maktaba.

Mtu anapata degree vitabu alivyosoma hata vitano havifiki. Hovyo!!
 

hii habari imesambaa hadi whatsApp ...naona aliyeandaa hii list anasoma OPEN or UDOM.
haya mambo ya vyuo yapo since miaka ya nyuma na yanaishiaga JF(tunabishana wee siku zinaenda)...So iweje now hadi kwenye ma-whatsApp habari inasambaa haina link(source)

Link kibao ambazo ni mahususi na zimebobea kwa Kazi hio zipo against na hio list yako........bwana mkubwa ndo kusema hio source yako inatumia vigezo vya kipekeeee kuliko hizo zingine..! BTW HUKO NI KUJIFARIJI TUU

hivi neno linalotumikagaa ni BEST UNIVERSITIES or TOP UNIVERSITIES...............Mkuu me naona hio list yako ni ya uongo......!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…