Best Tanzanian radio and TV ads

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Je, ni matangazo yapi ya radio na TV yaliyotamba mwaka huu?

Personally lile la TV... Duh, tigo, lilikuwa bomba
 
Siganganyiki

Nina jamaa wenye tabia mbaya sana ofisini kwangu wanapenda sana mabinti wa 4m2, sasa wanakerwa mbaya kabisa na tangazo hilo!.........................By ze way, mi si mnywaji, lakini napenda sana Tangazo la Serengeti!..maana limewapagawisha hadi wanangu ndani wamwonapo yule chui akishangilia!
...Ngoja waje watu wanaoitwa WAPWAAZ, huenda wakaniunga mguu!
 
mimi kwenye RADIO ni lile la BENKI YA POSTA!!.
"...we mere, hebu niitie huyo anjerina."
..anjelina hayupo bosi amekwenda benki mara moja..
....aaarrrghh, benki?, kuna nini tena benki??,
huyu anjerina mbona haturii, kira mara mujini mara benki,

utadhani arizariwa kigurunyembe....
 
hahaaaa mpwa umenigusa,........
 
Iribini utafanya aondoke sasa hivi kwenda kutuliza kiu....its kind of umemkumbusha chui chui, ngoja atokee tusikie!!!!
 
Nina jamaa wenye tabia mbaya sana ofisini kwangu wanapenda sana mabinti wa 4m2, sasa wanakerwa mbaya kabisa na tangazo hilo!.........................By ze way, mi si mnywaji, lakini napenda sana Tangazo la Serengeti!..maana limewapagawisha hadi wanangu ndani wamwonapo yule chui akishangilia!
...Ngoja waje watu wanaoitwa WAPWAAZ, huenda wakaniunga mguu!

Mkuu umekula SENKSI kule, na hapa nakupa nyingine mbili. You deserve! Thanks! Thanks!
 
TIGO..
Yule mwanamke aliekimbiwa na mumewe masika tatu,,,aliekwenda mjini kutafuta mbegu mpya ya mahindi....Duh
 
Tangazo linalosema

"Serikali za Mitaa na Serikali Kuu zote zina haki sawa. Serikali Kuu imezaliwa kutoka na Katiba iliyopitishwa na Bunge na Serikali za Mitaa zimezaliwa kutokana na Katiba iliyopitishwa na Bunge. Serikali Kuu haiwezi kuzinyang'anya Uhuru Serikali za Mitaa na Serikali za Mitaa haziwezi kuinyang'anya Uhuru Serikali Kuu. Zote ni Serikali zenye hadhi sawa"

Nalipenda sana Tangazo hili
 
Napenda pia lile Tanzano la Mama Kashika KONDOM YA FAMILIA anamkonyeza Baba waende wakajigijigi - RAHA
 
Leo lazima mwenyekiti atueleze matumizi na mapato ya shule yetu tumechokaa,tumechokaa...tena huyoo anakuja.....then kuna mama analalamika jamanix4 hawa watu jamani......
 
mimi kwenye RADIO ni lile la BENKI YA POSTA!!.
"...we mere, hebu niitie huyo anjerina."
..anjelina hayupo bosi amekwenda benki mara moja..
....aaarrrghh, benki?, kuna nini tena benki??,
huyu anjerina mbona haturii, kira mara mujini mara benki,
utadhani arizariwa kigurunyembe....

hahahahhahhahaahhhh pamoja sana mkuu hahahhahahahahhahahaa
 
mimi kwenye RADIO ni lile la BENKI YA POSTA!!.
"...we mere, hebu niitie huyo anjerina."
..anjelina hayupo bosi amekwenda benki mara moja..
....aaarrrghh, benki?, kuna nini tena benki??,
huyu anjerina mbona haturii, kira mara mujini mara benki,
utadhani arizariwa kigurunyembe....
kwa kweli hata mimi nalipenda sana hili, yani ile accent ya kaka yangu marwa inanikuna kweli.
 
Tangazo la TBS sio tu linafikisha ujumbe kununua bidhaa certified,pia ni entertaining sana.
 
Back
Top Bottom