Poa! Nipo ubungo msewe njoo uchukue ni pmrobbyl please, mimi pia niweke kwenye kundi la wahitaji ... binafsi si lazima ziwe latest sana coz mara ya mwisho nilicheza GTA, niruhusu nikutafute na kama kuna lolote natakiwa kulifahamu mapema zaidi ya hilo la kuwa na external yenye ujazo wa kutosha ..... nijulishe
Natanguliza shukrani zangu
Download software inaitwa x360ceMm nap3nda game za action lkn nyingi nlizodownload zinagoma kucheza kwa pad kwny pc zinataka nitumie keyboard
Sure! Ila huwa yana aim assist inasaidiaila games za action za fps ambazo unakuwa na bunduki na kushoot watu ni vyema utumie mouse sababu accuracy ya gamepad ni ndogo sana
still bado, sababu una mikono miwili mmoja utahandle movement kwenda kulia, kushoto, juu na chini na mwengine utahandle movement ya bunduki kwa zile gear upi utashoot? upi utareload? kitendo cha kuhamisha mkono toka kwenye gear hadi pad za kulia tayari unapoteza mudaSure! Ila huwa yana aim assist inasaidia
Gamepad zina buttons nyingi unaweza cheza vizuri tu ukizoea, kuna game kibao tu kwenye ps na x360 ambazo ni fps, na inategemea ulianza kucheza games kwa kutumia nn, kwa walioanza na pads wanasema keyboard na mouse kazi kuchezea, mimi nilianza kucheza kwa mouse na keyboard nikanunua pads sasa hvi nimezoea naona kuchezea pads ni poa tu.still bado, sababu una mikono miwili mmoja utahandle movement kwenda kulia, kushoto, juu na chini na mwengine utahandle movement ya bunduki kwa zile gear upi utashoot? upi utareload? kitendo cha kuhamisha mkono toka kwenye gear hadi pad za kulia tayari unapoteza muda
Inategemea unataka kuheza games za aina gani na katika resolution ipi, graphics card yenye kuanzia 2gb ddr5 dedicated memory, cpu i5 au zaidi na ram 8GB ddr3 unaweza cheza game za sasa hivi vizuri tuMkuu,nitanie minimum specs za desktop ili niweze kucheza hzo game,na pc ipi ninunue,tatu na mm nahitaji hzo games,naweza kupata?
sure huwezi kushinda mazoea ila kwangu mimi fps na pad hapana, nikiwa eneo sina mouse nikicheza dk chache tu linaniboa game.Gamepad zina buttons nyingi unaweza cheza vizuri tu ukizoea, kuna game kibao tu kwenye ps na x360 ambazo ni fps, na inategemea ulianza kucheza games kwa kutumia nn, kwa walioanza na pads wanasema keyboard na mouse kazi kuchezea, mimi nilianza kucheza kwa mouse na keyboard nikanunua pads sasa hvi nimezoea naona kuchezea pads ni poa tu.
Game inakuwa ina stuck toka jana... Nacheza euro truck simulator na crysis, tatizo litakuwa nn?... Mwanzo nilikuwa nacheza freshsure huwezi kushinda mazoea ila kwangu mimi fps na pad hapana, nikiwa eneo sina mouse nikicheza dk chache tu linaniboa game.
zamani zilikuwa hazistack? specs za pc yako ni zipi?Game inakuwa ina stuck toka jana... Nacheza euro truck simulator na crysis, tatizo litakuwa nn?... Mwanzo nilikuwa nacheza fresh
Ram gb6, core i3-2310, cpu @ 2. 10ghzzamani zilikuwa hazistack? specs za pc yako ni zipi?
huna gpu? cpu ipo ok ila hio igp ya ndani ni ndogo.Ram gb6, core i3-2310, cpu @ 2. 10ghz
Graphic card hd nvdia familyhuna gpu? cpu ipo ok ila hio igp ya ndani ni ndogo.
jaribu kurun hayo magame kwa resolution ndogo kabisa, uki open game nenda option za graphic halafu eka resolution ikiwezekana 800x480.
pia make sure driver zako za graphics zipo up to date
Mwanzo nlikuwa nacheza vzr baadae ndio ikaanza kustuckhuna gpu? cpu ipo ok ila hio igp ya ndani ni ndogo.
jaribu kurun hayo magame kwa resolution ndogo kabisa, uki open game nenda option za graphic halafu eka resolution ikiwezekana 800x480.
pia make sure driver zako za graphics zipo up to date
nvidia ipi? search neno dxdiag kwenye pc yako pale kwenye start halafu click hiko ki dxdiag then zitakuja information niangalizie ni nvidia ipiGraphic card hd nvdia family
unaweza kurun hayo magame kwenye windows mode? yani yasiwe full screen? likiwa hilo game linastuck ingia task manager (bonyeza ctrl+alt+delete) halafu angalia kitu gani kimejaa? cpu au ram au hdd na pia uangalie kama kuna program zinazogombania process na hilo game.Mwanzo nlikuwa nacheza vzr baadae ndio ikaanza kustuck
Need for speed ukishaanza kuna magali unaenda unakuta porche carrer ya njano then una press E alafu inakudai numlock 6 cha kufanya press window botton plus R then andika OSK inakuletea keybod then press sehem pa option utakuta mahali pameandikw show numeric kna kibox pembeni kiweke tiki alfa press ihjkl shift 6 inter shift enter hapo mishen ita unlock then enjoy ur gamePES mpaka leo bado wapo? PES niliacha kucheza ile ya 2013, nilivohamia FIFA 13 nikahamia mazima.
Most Wanted nimecheza ila kuna sehemu ktk mashindano nikikimbiza gari, gari ikawa inazima. Kila nikijaribu naishia hapohapo tuu, mwisho wa siku nimeachana nayo kabisa.
Processor za Xeon sizisikii kutajwa katika requirement za games why??? Na naona ni nzuri katika kurun game za kisasa kwa sababu zina core nyingi..unaweza kurun hayo magame kwenye windows mode? yani yasiwe full screen? likiwa hilo game linastuck ingia task manager (bonyeza ctrl+alt+delete) halafu angalia kitu gani kimejaa? cpu au ram au hdd na pia uangalie kama kuna program zinazogombania process na hilo game.
kama game linarun full screen unaweza tumia shortcut ya alt+tab kutoka kwenye game bila ku exit ili uingie task manager kuangalia
1. xeon haina gpu ni lazima uwe na gpu ya nje kama nvidia au amdProcessor za Xeon sizisikii kutajwa katika requirement za games why??? Na naona ni nzuri katika kurun game za kisasa kwa sababu zina core nyingi..
Nilisikia game za kisikuhizi zinatumia advantage yakuwa na core nyingi and mult thread kwenye pc1. xeon haina gpu ni lazima uwe na gpu ya nje kama nvidia au amd
2. xeon hazina single thread perfomance kubwa
ingekuwa wingi wa core ndio inamaanisha perfomance kubwa kwenye games basi amd angeshamfilisi intel na kwenye simu mediatek angewatoa sokoni apple na qualcomm.
kwenye games mara nyingi single thread perfomance ndio inayohitajika ndio maana processor za dual core kama i3 inazipita processor za amd zenye core 8 kama fx83xx series.
kuna baadhi ya xeon ni nzuri zinafaa kuchezea games lakini still zinapitwa kirahisi na i5 au i7 kwenye games.
yap ni kweli zinatumia core nyingi lakini still single thread perfomance bado ni muhimu. ukumbuke i7 ya kawaida ni core 4 tu (thread 8). lakini still inazipita cpu za amd zenye core 8.Nilisikia game za kisikuhizi zinatumia advantage yakuwa na core nyingi and mult thread kwenye pc