HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Nilipo angalia picha haraka haraka nikajua sim 3... Ngoja nilisake hiyoo ndi game zanguAsante sana Chief I will have to check nintendo games. Nintendo ipi ni nzuri mkuu? Sikuwahi kupay attention kwa hizi devices hapo kabla
Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB
Naomba link yake nidownload.... Naweza kucheza kwa usb pad kwny pc?Daa nacheza game moja balaa sana..inaitwa Tom clancy rainbow six siege
Humo ndan hatar sana..kuna silaha nzito hakuna..full assaults za kufa mtu
Af mtoa mission ni yule maza anaitwa Angela Bassett
Nuksi sana
Naomba link yake nidownload.... Naweza kucheza kwa usb pad kwny pc?
ila games za action za fps ambazo unakuwa na bunduki na kushoot watu ni vyema utumie mouse sababu accuracy ya gamepad ni ndogo sanaMm nap3nda game za action lkn nyingi nlizodownload zinagoma kucheza kwa pad kwny pc zinataka nitumie keyboard
Ngoja nitafute mouse wireless kbsila games za action za fps ambazo unakuwa na bunduki na kushoot watu ni vyema utumie mouse sababu accuracy ya gamepad ni ndogo sana
Project IGI ipo mpya?Project IGI,
GTA SA noma sana
Unaweza mkuuNaomba link yake nidownload.... Naweza kucheza kwa usb pad kwny pc?
Mkuu,nitanie minimum specs za desktop ili niweze kucheza hzo game,na pc ipi ninunue,tatu na mm nahitaji hzo games,naweza kupata?Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB
Mm nahitaji hizo game sijui nitakupatajeNi desktop
Lina offline missions?Daa nacheza game moja balaa sana..inaitwa Tom clancy rainbow six siege
Humo ndan hatar sana..kuna silaha nzito hakuna..full assaults za kufa mtu
Af mtoa mission ni yule maza anaitwa Angela Bassett
Nuksi sana
Yap yap..mi nacheza offlineLina offline missions?