Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,747
Oyaa mzee Nisaidie Kuipata Hiyo Call of Duty Tafadhali! au Kama una Link Niwekee-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.