Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Inatoka mwezi wa ngapi?PES 2018 inakuja... ni hatari mazeee...!!!!
Inatoka mwezi wa ngapi?PES 2018 inakuja... ni hatari mazeee...!!!!
Hii ni horror game?? inaonekana tamu
link hiyo Blackbox repackOyaa mzee Nisaidie Kuipata Hiyo Call of Duty Tafadhali! au Kama una Link Niwekee
Haha unankumbusha mkali harper na woods noma sana...
Kuna mda woods aliwambia jmaaa flan hiv..communist piece of shit basi kikanuka happ hapo
mwezi wa tisa mwaka huu..!Inatoka mwezi wa ngapi?
ile ya wajeda jangwani katuni katuni.. mpaka unamkamata osama mwisho..!!!!Mbona sijaona mtu akitaja conflict desert storm
Ni game kali sana kwangu
dah hilo game linatisha kinoma mkuuHii ni horror game?? inaonekana tamu
dah mkuu hiyo ilikua miaka ya 2000-2004 ndo wakina desert storm walikua no1 sasa ivi kuna akina COD na wemgineoMbona sijaona mtu akitaja conflict desert storm
Ni game kali sana kwangu
Ets 2 inanoga ukiwa na mods basi haliish utamu mkuu...Game karibu zote zilizotajwa humu nimeshazicheza.. Hizo kina call of duty zote, fifa za tangu 12, pes karibu zote, need for speed zooote, na nyingine nyingi tu.. Saiz huwa napotezeaga muda na euro truck sim 2 na flight simulator tu labda kidoogo na pes 17 mara moja moja.. Naipenda euro simulator na flight simulator sababu ni they are more than a game.. But i like gaming in my leisure time..
imefanyaje pes 11 au unataka linkpes 2011
Ni kali ila ya zamani,labda kama imetoka mpyaMbona sijaona mtu akitaja conflict desert storm
Ni game kali sana kwangu
Napenda sana game inayotisha aisee,hope it's targeting gamedah hilo game linatisha kinoma mkuu
yeah kumbuka zipo na nyingine nyingi kama Resident evil inatisha sana pia Outlast.Napenda sana game inayotisha aisee,hope it's targeting game
MKUU HIZO MAPS UNAWEZA TUWEKEA LINK HAPA, MAANA MIMI NIMESHINDWA KUZIPATA KABISA.Ets 2 inanoga ukiwa na mods basi haliish utamu mkuu...
Upate southern region map,mario map,tsm map na Russian baikal hapo utakutana na barabara za vumbi full mitope,kona na milima yakutosha huku umefunga mod ya Horsepower kama 1000 hivi...na nyuma una mzgo wa heavy cargo aaah huez choka euro truck
Nitaweka uzi wa modds za euro truck mkuu very soonMKUU HIZO MAPS UNAWEZA TUWEKEA LINK HAPA, MAANA MIMI NIMESHINDWA KUZIPATA KABISA.