Best PC games

Best PC games

Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
1. 6 processor
ram 2gb...
vp naweza kucheza haya magemu na mm.....
 
Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Mkuu kwenye smart phone hazichezi?
 
hii ndio ile euro truck kwaajili ya kubeba mizigo mizitomizito
http://oceanofgames.com/euro-truck-simulator-2-heavy-cargo-pack-free-download/
Dual core cpu 2.4 ghz
ram 4gb
dhh 5gb
Euro-Truck-Simulator-2-Heavy-Cargo-Pack-Setup-Free-Download.jpeg
Euro-Truck-Simulator-2-Heavy-Cargo-Pack-Free-Download.jpg
 
-Mimi kwangu mpaka sasa kali ni Fifa 14 niliyocheza.
-Ya pili ni Call of Duty 3, hatari saana mkuu akina Yuri, Captain Price, Gaz n.k
-Ya tatu naipenda sana ila bado sijaicheza na naitafuta kwa udi na uvumba, naomba unisaidie kuipata. Inaitwa Call Of Duty 2 Black Ops. Humu ndani kuna wanaume wawili wananikosha sana kwa mission wanazozipiga, ni ALEX MASON na WOODS.
Hahhahha umenkumbusha mbali sana mkuu hyo COD 3 na 4...... kina soap na amir zakhaev

Ila pia sniper ghost warrior nayo ni hatari sana
 
Umeshaenda kuwaona akina Mujahedeen? Alex Mason ndo mashine humo ndani na rafiki yake Frank Woods.

Mpe pole Menendez kwa msiba wa dada yake Josephine.
Nimeshakutana mpk na Noriega
 
Back
Top Bottom