Utanifanya niitafute hiyo Pes Mkuu, niliacha kucheza hiyo kitu tangu Pea 15 kama sikosei, mimi ni FIFA tu ila kwa sasa FIFA sijacheza tangu mwaka jana.
Mkuu, andaa pesa ununue XBOX 360 hata Used, iko vyema mno kuliko PS2. Nimecheza zote hizo, XBOX uzuri wake Pad unaweza ukazitumia kama wireless na ndani kuna Internal Storage.