Best 20 Smart Phones

Hyo chati Mhhh.... Nazan Wamependelea os Flan hv.... Then Hata Ukuja kusema KUwa kigezo ni Specs tutapumbazana maana Os Inapokua nzito Kama androids nDipo uhitaji wa Specs kubwa unatokea... ila kwenye windows na IOS zna run verysmooth sooo wala haziitAJ SPECS KUBWAAAA..... Ila kuna Kitu kimenshangaza hapo.... Samsung s3 n ya 16 na S2 n ya 12... au hapo ulitaka kuandika note 2????? na kuna smu za androids na zmewazd wakina s2 na s3 ila hazipo hapooo..... kama xiaomi m3...

Pia Katika chati yako lumia 520 ndo ipo juu kuliko lumia 925 na 820.... Ar u out of ya mind??? smu ya laki 3 n nzuri kuliko superior wake wa milion.... Man.. naomba vgezoooo maana katika lumia labda tungeanza na 925 tuje 920 then ndo 820 [ hapo sjawaweka kina 1020 na 1520 wa juz juz...

ni hayo tuuu

True kaka xiaomi Mi3 au OPPO N1 huwezi linganisha na hizo plastics za samsng
 
Huyo ilitakiwa kumuelewesha kama hivi:

"Kilaza ivibration umekosea kuandika (siku nyingine uwe una copy na ku paste kama huwezi kuandika bila kuwaza kugongewa"

Hiyo namba 12 ni Samsung galaxy note 2 na sio S 2

ImageUploadedByJamiiForums1384169158.349111.jpg

Fanyen kama hivo atawaelewa, Mtu mwenyewe anatokea Mombasa huwezi jua
 
Hyo chati Mhhh.... Nazan Wamependelea os Flan hv.... Then Hata Ukuja kusema KUwa kigezo ni Specs tutapumbazana maana Os Inapokua nzito Kama androids nDipo uhitaji wa Specs kubwa unatokea... ila kwenye windows na IOS zna run verysmooth sooo wala haziitAJ SPECS KUBWAAAA..... Ila kuna Kitu kimenshangaza hapo.... Samsung s3 n ya 16 na S2 n ya 12... au hapo ulitaka kuandika note 2????? na kuna smu za androids na zmewazd wakina s2 na s3 ila hazipo hapooo..... kama xiaomi m3...

Pia Katika chati yako lumia 520 ndo ipo juu kuliko lumia 925 na 820.... Ar u out of ya mind??? smu ya laki 3 n nzuri kuliko superior wake wa milion.... Man.. naomba vgezoooo maana katika lumia labda tungeanza na 925 tuje 920 then ndo 820 [ hapo sjawaweka kina 1020 na 1520 wa juz juz...

ni hayo tuuu

sante kaka
 
hahahahahaaah napita tu jaman
 
20. Huawei Ascend P6
19. Nokia Lumia 820
18. BlackBerry Z10
17. Sony Xperia SP
16. Samsung Galaxy SP Active
15. Samsung Galaxy S3
14. Nokia Lumia 925
13. iPhone 5C
12. Samsung Galaxy S2
11. Sony Xperia Z
10. Samsung Galaxy S4 Mini
9. Sony Xperia S1
8. Google Nexus
7. Nokia Lumia 520
6. Samsung Galaxy Note 3
5. HTC One Mini
4. iPhone 5S
3. Samsung Galaxy S4
2. LG G2
1. HTC One
--techradar.com

data za lin hizo mkuu?
 
Kakosea halafu mkali hataki kosolewa

Huyo mwachen hajui ubora na mpangilio wa simu yeye anajua majina tuu Kama huawei p6 ni simu bora sana na wametoa huawei p6 c00 ni hatar sasa sijui jamaa kaipata wapi list hiyo au ya mbeya city hiyo list
 
Back
Top Bottom