ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
- Thread starter
- #21
Around Kenya Shs 70,000. Convert it to TZ Currency.Hiyo HTC One Inapatikana kwa Bei gani!???
Around Kenya Shs 70,000. Convert it to TZ Currency.Hiyo HTC One Inapatikana kwa Bei gani!???
Bei si hoja bro. Features ndo muhimu. We visit hiyo website iko after hiyo list Ndo upate uchambuzi wote.
Ambia hao mashenz type. Waache kuleta Nye Nye Nye ...!
Weka ya processing speed, before nikujibu..Hasa MKuu Mbona Unataka kujifunga............. v2 vngne ukiumiza kichwa unaelewa tuu mbona.... Kwan knachopandisha bei smu nn?? s featurez??? au..........
ngoja sasa nikupambanishie kat ya nokia L520 na Nokia L920
mia 920 ina 8mp camera wakat 520 ana 5mp
camera ya 920 inatumia pureview tech wakat 520 kawaida
920 ana 4g network 520 kaishia HSDPA
920 ana 32 gb na 520 ana 8 gb
920 ana 1 gb ram 520 ana 512 gb
sijONGELEA v2 vngne kama processor , screen, protection, processor vyote hvyooo kazdiwaaa.........
mm skujib kngne ila nataka nikuulize ww hapo unaona ipi ni nzuri kwa uelewa wakoo????
Around Kenya Shs 70,000. Convert it to TZ Currency.
20. Huawei Ascend P6
19. Nokia Lumia 820
18. BlackBerry Z10
17. Sony Xperia SP
16. Samsung Galaxy SP Active
15. Samsung Galaxy S3
14. Nokia Lumia 925
13. iPhone 5C
12. Samsung Galaxy S2
11. Sony Xperia Z
10. Samsung Galaxy S4 Mini
9. Sony Xperia S1
8. Google Nexus
7. Nokia Lumia 520
6. Samsung Galaxy Note 3
5. HTC One Mini
4. iPhone 5S
3. Samsung Galaxy S4
2. LG G2
1. HTC One
--techradar.com
Mleta mada pale chini kaweka source ya hizo data " --techradar.com". Mbona nnamshambulia yeye!!!? hata nyie mnaweza kuja na list zenu,au kutembelea hiyo web kujua wao wametumia vigezo gani kuweka hiyo orodha.
Mbona sijaona tecno phantom A+!! Nakutaka uifatilie halafu uje na jibu. Kwa maoni yangu hii ni no 1
Kama kweli uko darasa la saba, angalia definition of the word smart.Umechanganya smartphone,androidphone,windowphone,iphone tukueleweje.20 smartphone
Skia vizuri Critic, silipwi kufanya hivo. Mi hufanya kwa hiari yangu, vile nataka, na huwa silazimishi mtu asome, got it??!kaka huu ubishi unaouona hapa ulianza toka thread ya best computer. hio aloeka sio source ni jina la website.
mfano mi niandike kitu kisha niseme source wikipedia itakua sio sahihi wikipedia ina mamilion ya article je ni article ipi niliyotoa?
same na techradar wana maelfu ya article ni article ipi aliotoa? ye haandiki.
Skia vizuri Critic, silipwi kufanya hivo. Mi hufanya kwa hiari yangu, vile nataka, na huwa silazimishi mtu asome, got it??!
Well, you are entitled to your own tastes and preference. Siwezi nikakunyima hiyo. Hata kuna wenye hu prefer Nokia 1600 kuliko a Smart phone. Kuongezea, basic economics, when demand goes up what happens to the price? I believe you are smart enough to answer that. The price is not an issue here. Labda huko Tz mtu anaona mwenzake amenunua S3 ama lumia, anaenda naye kununua lilo hilo. What will happen next, is that the demand for that will rise na sellers wataraise the price.Ungesoma reviews za users mbalimbali worldwide na hata kuangalia bei pale mlimani city usingeandika hayo.
Mimi ninatumia s4 na lumia 920 baada ya kuachana na htc na iphones. Huwezi kulinganisha kabisaaa.
Jifurahishe tu.
Sina la ziada kwako. Rudi tu kwa huo huo msitu ulikotokezea.Wewe ni kiazi kweli,umelazimishwa kuweka huu Uzi hapa? Kwa hiyo unataka watu wote kubaliane na mawazo yako ?
Wahuni wa Kibaki! Hahaha! Thats a howt..sorry, hot one! My lady, I was wondering, u know, If I can take you out sometimes, ..u know. Hahaha!Jukwaa limevamiwa na wahuni wa kibaki
Do not drug issues unapokosea ukarekebishwa kua mpole ili ujifunze kitu,,,,,matusi hayasaidii sana sana unajidhalilisha tu
The value of an idea lies in the using of it!!
hapo waja na list tu ya simu, je ukija na style nyingine si ndio watakumaliza hasa