Best 20 Smart Phones

ivibration

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
363
73
20. Huawei Ascend P6
19. Nokia Lumia 820
18. BlackBerry Z10
17. Sony Xperia SP
16. Samsung Galaxy SP Active
15. Samsung Galaxy S3
14. Nokia Lumia 925
13. iPhone 5C
12. Samsung Galaxy S2
11. Sony Xperia Z
10. Samsung Galaxy S4 Mini
9. Sony Xperia S1
8. Google Nexus
7. Nokia Lumia 520
6. Samsung Galaxy Note 3
5. HTC One Mini
4. iPhone 5S
3. Samsung Galaxy S4
2. LG G2
1. HTC One
--techradar.com
 
Hyo chati Mhhh.... Nazan Wamependelea os Flan hv.... Then Hata Ukuja kusema KUwa kigezo ni Specs tutapumbazana maana Os Inapokua nzito Kama androids nDipo uhitaji wa Specs kubwa unatokea... ila kwenye windows na IOS zna run verysmooth sooo wala haziitAJ SPECS KUBWAAAA..... Ila kuna Kitu kimenshangaza hapo.... Samsung s3 n ya 16 na S2 n ya 12... au hapo ulitaka kuandika note 2????? na kuna smu za androids na zmewazd wakina s2 na s3 ila hazipo hapooo..... kama xiaomi m3...

Pia Katika chati yako lumia 520 ndo ipo juu kuliko lumia 925 na 820.... Ar u out of ya mind??? smu ya laki 3 n nzuri kuliko superior wake wa milion.... Man.. naomba vgezoooo maana katika lumia labda tungeanza na 925 tuje 920 then ndo 820 [ hapo sjawaweka kina 1020 na 1520 wa juz juz...

ni hayo tuuu
 
kaka sony experia z1 ndio flagship ya sony iweje haipo na kuna xperia z?

s3 ni nzuri kuliko s4 mini

sioni lumia 1520 wala note 3 wala htc max

brother hua sjui unatoa wap data zako
Weka list yako yenye iko poa bro. You have all the freedom
 
Hyo chati Mhhh.... Nazan Wamependelea os Flan hv.... Then Hata Ukuja kusema KUwa kigezo ni Specs tutapumbazana maana Os Inapokua nzito Kama androids nDipo uhitaji wa Specs kubwa unatokea... ila kwenye windows na IOS zna run verysmooth sooo wala haziitAJ SPECS KUBWAAAA..... Ila kuna Kitu kimenshangaza hapo.... Samsung s3 n ya 16 na S2 n ya 12... au hapo ulitaka kuandika note 2????? na kuna smu za androids na zmewazd wakina s2 na s3 ila hazipo hapooo..... kama xiaomi m3...

Pia Katika chati yako lumia 520 ndo ipo juu kuliko lumia 925 na 820.... Ar u out of ya mind??? smu ya laki 3 n nzuri kuliko superior wake wa milion.... Man.. naomba vgezoooo maana katika lumia labda tungeanza na 925 tuje 920 then ndo 820 [ hapo sjawaweka kina 1020 na 1520 wa juz juz...

ni hayo tuuu
Bei si hoja bro. Features ndo muhimu. We visit hiyo website iko after hiyo list Ndo upate uchambuzi wote.
 
Hata kama sina uzefu na cim kama chief mkwawa kweli ina maana s2( old version) ni bora kuliko s3(the higher version ya s2) jesus umejiandikia tu au? labda ungeanzisha uzi kuomba utajiwe the best top 20 smartphone ungesaidiwa!!!!
 
Mleta mada pale chini kaweka source ya hizo data " --techradar.com". Mbona nnamshambulia yeye!!!? hata nyie mnaweza kuja na list zenu,au kutembelea hiyo web kujua wao wametumia vigezo gani kuweka hiyo orodha.
 
Hili ndo tatizo letu WaTZ tunakurupuka sana.
 
Hili ndo tatizo letu WaTZ tunakurupuka sana.
I salute you for that jua cali. Enyewe baadhi ya hao waTZ wenzako wana uf_la mwingi sana. Mtu hajui hata design ya HTC one inakaaje, ameshaanza kunikemea mwanzilishi wa thread vibaya, as if ako na beef na mimi. Hata hatujawahi kukutana! M_vi ya kuku nyinyi!! I think its a high time you tanzanians wenye tabia ka hizo, should change that for your own good. Na si ati nawabembeleza, take it or leave it, damn it!
 
Back
Top Bottom