Best 20 Smart Phones

Best 20 Smart Phones

I salute you for that jua cali. Enyewe baadhi ya hao waTZ wenzako wana uf_la mwingi sana. Mtu hajui hata design ya HTC one inakaaje, ameshaanza kunikemea mwanzilishi wa thread vibaya, as if ako na beef na mimi. Hata hatujawahi kukutana! M_vi ya kuku nyinyi!! I think its a high time you tanzanians wenye tabia ka hizo, should change that for your own good. Na si ati nawabembeleza, take it or leave it, damn it!

Unajua msidanganye watu mana hata hao wanaotengeza simu wakat wanapoitangaza wanasema simu hii HTC inafanana na labda Samsung S 3 au S 4 sasa tuwe makin na hoja zetu
 
Hahahaa... Inaonekana ndugu yetu anashindwa kujiheshimu. Angewezaje kuwa na kiburi hivyo.
Jitunzie heshima yako ndugu.
 
Back
Top Bottom