ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
- Thread starter
- #41
Ila jina lako linareflect na unavyojibu ndg mtetemo
Sikuelewi, but hata nikikuelewa it still won't make any difference.
Ila jina lako linareflect na unavyojibu ndg mtetemo
kaka huu ubishi unaouona hapa ulianza toka thread ya best computer. hio aloeka sio source ni jina la website.
mfano mi niandike kitu kisha niseme source wikipedia itakua sio sahihi wikipedia ina mamilion ya article je ni article ipi niliyotoa?
same na techradar wana maelfu ya article ni article ipi aliotoa? ye haandiki.
Back up your sentiments then, master. Kwa nini unaonelea hivo?
Kama kawaida yake ivibration, kaja tena. Namkumbuka alipokuja na best browsers.
Sababu zipo nyingi mkuu...ila moja wapo ni kwamba hujaeleza vigezo ulivyotumia kuchambua simu hizo na sababu zilizokufanya uone simu hizo ni bora kuliko simu nyingine. Sasa kama hujaweka hivyo vigezo ulivyotumia kuchambua simu hizo au sababu zilizokufanya uone simu hizo ni bora kuliko simu nyingine, unategemea utanishawishi vipi mimi niweze kuamini kama simu hizo ni bora kuliko simu nyingine?
naishia kusoma post yako,siendelei tena na hii thread..kaka sony experia z1 ndio flagship ya sony iweje haipo na kuna xperia z?
s3 ni nzuri kuliko s4 mini
sioni lumia 1520 wala note 3 wala htc max
brother hua sjui unatoa wap data zako
Till today nilikuwa naamini kabisa kirusi cha utovu wa adabu hakijaingia katika jukwaa hili,IVIBRATION kwa hisani yake atuombe radhi la sivyo tuna muomba mods wampe person nongrata ya jukwaa hili specifically!
- Hii maneno huwa haitumiki kwa hili jukwaa.
- ​NI vyema kubishana kwa hoja bila kuvunjiana heshima.
Tuombe radhi IVIBRATION! ustaarab,silka na huka njema ni codes of conducts za jukwaa hili,hapa hata suali la kipuuzi hujibiwa kwa busara elekezi kwa faida ya kila mtu.tafadhali kuwa muungwana omba radhi tunaamini umepitiwa tu hauko hivyo!Ambia hao mashenz type. Waache kuleta Nye Nye Nye ...!
Till today nilikuwa naamini kabisa kirusi cha utovu wa adabu hakijaingia katika jukwaa hili,IVIBRATION kwa hisani yake atuombe radhi la sivyo tuna muomba mods wampe person nongrata ya jukwaa hili specifically!
I. have absolutely nothing whatsoever to apologize for. It is you who should be down on your knees profusely begging me for the same.Tuombe radhi IVIBRATION! ustaarab,silka na huka njema ni codes of conducts za jukwaa hili,hapa hata suali la kipuuzi hujibiwa kwa busara elekezi kwa faida ya kila mtu.tafadhali kuwa muungwana omba radhi tunaamini umepitiwa tu hauko hivyo!
oyyyyoooo yoyota anaejua chochote kuhusiana na hii program inaitwa INTERNET SPEED BOSTER
Features ziko wapi? Usikae kimya,jiteteeNaongeza hii ya Motorola Moto X.
Sitakaa kimya
Features ziko wapi? Usikae kimya,jitetee