Bernard Membe enzi za ujana wake

Status
Not open for further replies.
Peleka mahari kwa wazazi wake

Kuna uhusiano gani kua handsome na kupeleka mahari kwa wazazi wake?

Mbona wewe huna hata sifa moja ya uhandsome lakini umetolewa mahari?
Chefuuuu
 

Hapo inamaana Dk Mengi atakimbia Nchi ?
 

Utoto bana!!!, ukikua utaacha.
 

Mtani naona unavujisha tu ..kweli leo weekend!
 
Mgombea halisi wa CCM in mzee Philip Mangula a.k.a. Sungusungu. Hawa wengine wasindikizaji tu.
 
inawezekana tukawa na source moja, isipokuwa hapo kwa Kinana, Asili yake ya Kisomali ndio inamuangusha kuwa Kiongozi wa nchi hii

Muhongo akikosa kuteuliwa kugombea kwa CCM, ataenda kugombea Ubunge kwao na ndio atakuwa Waziri Mkuu

Muhongo ata ubunge czan hawez kumtoa nimrod mkono sasa atagombea wapi ashinde
 

Rais wa wawekezaj wa madin labda
 

yaani ulivyoeleza/ andika utadhaani muungano utakuwa umevunjika, sijaona nafasi ya wazanzibari katika hicho unachodai ni uhakika 100%
 

fantasy
 

kituko... so CCM kupata nafasi ya juu lazima JK apende sio??

Una uhakika JK ana ushawishi ndani ya chama kama unavyotuaminisha humu??

No wonder tanzania ni kama tumeoza... kila mtu dume, na kila mtu jike
 
Pinda, Lowassa Na Membe Wakiwa Marais Wa Tanzania 2015 - 2020 NAKUNYA Dar Mpaka KIGALI.


Dah mkuu, nilikuwa naufatilia huu uzi kwa umakini sana, hasa niliposhawishika na hoja zako za mwanzo... Lakini kwa hiki ninachosoma hapo juu, niwie radhi naomba niishie hapa... Haupo kama nilivyofikiria mwanzo..
 
ndugu bernard kamilius membe (waziri wa mambo ya nje ) hapa ni muda mchache kabla ya kujiunga na USALAMA WA TAIFA (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa ( natinal security analyst) akiwa na miaka 25.

Famba!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…