Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Hivi Makamba na Kinana sio Leo au ndo nguvu ya media imehamia humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapaNimenunua bando ili nijue kilichojiri kwenye kamati ya maadili nashangaa hadi sasa kimya!!!
Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....
Hongera sana Mwamba. tuko pamoja
Hapa alikuwa anamaanisha kuwa hakula wala kunywa chochote ndani ya masaa3matano ya mahojianoIle ya baada ya kushiba ilikuwa tamu na salama zaidi.
Huo umwamba ni upi?? maana kwenye kura za maoni tu aligalagazwa tena bado akiwa fresh.Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....
Hongera sana Mwamba. tuko pamoja
Kumuita Membe mwamba ni kutafuta ugomvi na UVCCM.😠😠😠...Shauri yakoBaada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....
Hongera sana Mwamba. tuko pamoja