Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Hivi mwanachama ukiitwa huko unapewa nauli au hela ya mafuta?

Au utaratibu ukoje maana from Lindi to Dodoma mbali sana halafu ndio ukute blah blah nyingi tu huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe si wa kukumbushwa kuhusu maamuzi onevu ndani ya CCM. Yeye mwenyewe alishawahi kuwa wehemu yq waratibu wakuu wa mipango miovu ya chama kea watanzania. Kwahiyo acha naye aionje na kufurahia kazi ya mikono yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yaliyomkuta lowasa mpaka akalowa kabisa. Hawa watu waliwaonea sana watanzania hasa akina Lowasa kwa kutunga na kuunga mkono sera na sheria za hovyo.

Sheria ya uchaguzi aliyopigania na kuitetea Mh Lowssa akidhani anawakomoa wapinzani ilikula kwake 2015 baada ya kukosa tume huru na matokeo kushindwa kuyahoji mahakamani anajuta.
 
Kwa jinsi unavyojiamini,ni wazi una hoja nzito za kujitetea, sema tu hawatasikiliza wala kuzingatia hoja zako bali wataingia kwenye kikao wakiwa tayari na maamuzi yao mifukoni.

Kwa mtazamo wangu, kikao hiki ni cha ushahidi tu ili ionekane umepewa haki ya kusikilizwa.
Kuna tetesi3kuwa ametakiwa kurejesha card
 
Membe aliingia tano bora akawa wa mwisho.

Yani hadi Makamba Jr alimshinda kwa kura lkn leo anajitutumua kana kwamba hajawahi kuchukua fomu.

Tunaonya, akitaka kushinda kirahisi aende chadema atasafishwa na kubatizwa mleta mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....

Hongera sana Mwamba. tuko pamoja

Mmh kama ni kweli sidhani kama litafanyika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom