Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Baada ya Mwamba kutoka katika kile kinachoitwa kamati ya usalama na maadili ya CCM. kesho ataongea na waandishi wa Habari kutoka Serena Hotel ili kuwajuza wananchi kilichojiri....

Hongera sana Mwamba. tuko pamoja
Why kesho? si aseme tu leoleo?
Tupo tayari kumsikiliza.
 
Tutegemee mawili, eiza aseme wameelewana wameamua kuyajenga kwa manufaa ya nchi na chama AU kama ni kinyume na hapo mkutano wenyewe na waandishi wa habari usifanyike ng'ooooo
 
Membe aliingia tano bora akawa wa mwisho.

Yani hadi Makamba Jr alimshinda kwa kura lkn leo anajitutumua kana kwamba hajawahi kuchukua fomu.

Tunaonya, akitaka kushinda kirahisi aende chadema atasafishwa na kubatizwa mleta mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa Rondo, BM, Kazi na Bata, mwamba wa kusini au simba wa tandaimba unaweza mwita unavyotaka yote ni aka zake
 
Nasubiri nione kama na yeye atatolewa bastora hadharani kama alivyofanyiwa nape au mkuu ataibuka kwa dharura tbccm na uteuzi/utumbuzi feki
 
Membe kwanini asitulie tu na afanye yake (kama yapo) kimyakimya? Jasusi gani huyu?
x.jpg
 
Membe aliingia tano bora akawa wa mwisho.

Yani hadi Makamba Jr alimshinda kwa kura lkn leo anajitutumua kana kwamba hajawahi kuchukua fomu.

Tunaonya, akitaka kushinda kirahisi aende chadema atasafishwa na kubatizwa mleta mabadiliko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulikuwa kwenye kamati au ulikuwa unasoma tu kwenye mitandao?
 
Alishasema hili jambo liliwekwa wazi tangu mwanzo litaendelea kuwa wazi
Watamfukuza uanachama. Na watasimply quote "mambo yetu huwa tunayaongea kwenye vikao vya ndani". Siamini kama huo mkutano utafanyika. Membe knows better. Hawa jamaa watamuumbua kwani hakuwa msafi na kapiga pesa za kutosha sana enzi zile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom