chanaga
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 344
- 189
Hbr za sikukuu,wikii hii Rais Magufuli wakati anahutubia mkutano mkuu wa UWT nilimsikia akisema nataka viongozi ambao watahakikisha wanawake wakija kukopa hata ambao sio wa CCM wanapata mkopo kwa riba ndogo. Nataka kujua hii benki ni ya Wanawake wa Tanzania au inamilikiwa na UWTCCM.