Benki ya Wanawake Tanzania(TWB) inamilikiwa na wanawake Tanzania au UWTCCM?

chanaga

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
344
189
Hbr za sikukuu,wikii hii Rais Magufuli wakati anahutubia mkutano mkuu wa UWT nilimsikia akisema nataka viongozi ambao watahakikisha wanawake wakija kukopa hata ambao sio wa CCM wanapata mkopo kwa riba ndogo. Nataka kujua hii benki ni ya Wanawake wa Tanzania au inamilikiwa na UWTCCM.
 
Ajabu ni kuwa hata mtaji wa benki hii ulitolewa na serikali lakini CCM wamebinafsisha. UWT imejimilikisha benki ya serikali!
 
Hbr za sikukuu,wikii hii Rais Magufuli wakati anahutubia mkutano mkuu wa UWT nilimsikia akisema nataka viongozi ambao watahakikisha wanawake wakija kukopa hata ambao sio wa CCM wanapata mkopo kwa riba ndogo. Nataka kujua hii benki ni ya Wanawake wa Tanzania au inamilikiwa na UWTCCM.
 
Naona ni katika maongezi tu au hajui na wasaidizi hataki aendelee kuua.TWB inamilikiwa na Serikali kwa 100%
 
Hahaha ulikuwa hujui mkuu ndio maana wanawadanganya wakina mama na viko feki huku wanaumizwa

Swissme
 
Hajui tofauti ya UWT na wanawake wa Tanzania nzima
ilianzishwa kwa kutumia kodi za umma na mswaada ulienda bungeni
hakuna waliposema ni mali ya CCM kwa kupitia UWT..

Wanasema kujua hujui ni nusu ya tiba....hajui kuwa hajui..
 
Naona ni katika maongezi tu au hajui na wasaidizi hataki aendelee kuua.TWB inamilikiwa na Serikali kwa 100%
Basi tusubiri labda kuna wale watu wanaosema hatukumuelewa mheshimiwa halikua hana maana hayo watajitokeza soon kutuelewesha.
 
Basi tusubiri labda kuna wale watu wanaosema hatukumuelewa mheshimiwa halikua hana maana hayo watajitokeza soon kutuelewesha.

TWB ilianzishwa baada ya Sheria kupitishwa Bungeni hivyo IPO Kisheria.Na ilianzishwa ili kuwapa wanawake nafuu ya kupata mikopo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom