Benki ya dunia yawatukana mamilioni ya watanzania

Benki ya dunia yawatukana mamilioni ya watanzania

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable pamoja na zile 7000 mnazolipwa kila siku lakini bado benki ya dunia imewatukana na kuwabagaza.
1756275979414.jpg
 
Huo ndiyo wasifu wa Watanzania wanaomshabikia Samia na CCM yake.
 
CCM Ina wenyewe! Wenyewe ni matajiri na wenye nazo. Wewe maskini huko unatafuta Nini?
 
Wengi ambao walizaliwa na utapiamlo,wanakula miguu ya kuku,utumbo na vichwa na kunywa mataputapu hawana hata Bima ya Afya ndiyo mitaji ya CCM
Ingalau wale wanaojitambua milo mitatu kwa siku ndiyo wanaotaka mabadiliko
 
Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanaishi katika umasikini halisi au wa kupindukia. Kama mtu anaamka asubuhi anakula maandazi mawili na energy drink ya Mo na kupata pasi ndefu mpaka saa moja usiku anapata wali maharage kwa mama ntilie.
 
Benk ya Dunia imesema Ukweli kabisa. Maana baba, mama, na watoto wa 2 elf 10 kwa Chakula siku yaani chai, Chakula cha mchana na usiku elf 10 haitoshi ndio maana baadhi ya wanaume wanatelekeza familia zao.

Hapa yaipasa serikali ijitafakari sana hasa eneo la uchumi.
 
Back
Top Bottom