Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

Tz itasimama imara kama simba. Hakuna tatizo.
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

 
Tutavuka tu, watu bado wanaendelea kuwaabudu wazungu kwa sababu ya njaa zao binafsi.
 
World bank=wanyonya damu +kuuwa kizazi cha mama Afrika. Mtu mweusi atakayesifia hili la benki kuu ya wauaji, tuwasamehe na tuawaache waangaamie kama sadaka na kafara ya mabeberu. Hii benki ndio imetuwekea madeni ambayo vitukuu vyetu wataendelea kua watumwa. Tutumie miti shamba.
 
Back
Top Bottom