Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

Yani kuna watu wanakaa kusifiwa hadi wanatengeneza sifa za bandia.

HII SASA NI UTAKATISHAJI WA SIFA BANDIA
Huwa najiuliza siku wakishuka kwenye daladala wataweza ishi bila sifa.Maana daladala ikishakuacha kituoni kwako utosikia cha TBC,harmonize Wala musiba wakikuimbia nyimbo kusudi wapate pesa toka kwako.
 
Haya mengine ya kijitakia...ku.lazimisha mtu akupongeze bi balaa...siku akilivumbulua unaficha usi wako wapi?
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

C.c

Wakudadavua
Mudawote
TumainE
Johnthebaptist
TrollJF
Mwanamwana
Britanicca
Kiparakipya
Stroke.
Dr.Akili et al
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

Walitaka hatua za kujifungia ndani ndio wajue tumechukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilifungua hii story na links zote zimo - Imeondolewa kwa sababu tu JPM anawanyima usingizi.

World Bank Warns African Countries Copying Western Anti-COVID-19 Policies

Tuesday, April 14, 2020 / 01:07 AM / By RedPepper Editorial & World Bank / Header Image Credit: WatPad

The World Bank Group has applauded Tanzanian unique approaches to contain the COVID-19 pandemic and also cautioned African states to desist from copying Western practices and policies to curb its spread.

"Thanks, President John Magufuli for not duplicating policies implemented in advanced countries and some middle - income as pasted by some African countries in the region.

The Africa's Pulse Report titled as "assessing the economic impact of COVID-19 and Policy Responses in Sub-Saharan Africa" released yesterday has commended Tanzania as one of the best examples for its strategic approaches that considers the best of its political economy and well-being of the society.

With 32 COVID- 19 confirmed cases, 3 deaths and 5 recoveries, Tanzania unlike other African countries has not locked down businesses and its citizens. The country has not also closed its borders but initiated strict testings and 14 days quarantine to all arrivals.

The World Bank report warns catastrophic consequences to sub- Saharan countries that have copied and pasted anti COVID- 19 policies.

"Facing a fast-changing situation with great uncertainty and so many unknowns, most governments around the world have resumed to similar approaches to contain the COVID-19 pandemic", the report states.

The report mentions South Africa, Ghana, Rwanda, and Kenya, who have reacted quickly and decisively to curb the potential influx and spread of the COVID-19 virus very much in line with emerging international experience.

The report warns these countries that as the situation evolves, there are more questions about suitability and likely effectiveness of some of these policies such as strict confinement.

It advises African governments deploy a series of emergency measures and structural features of African economies that shape the policy responses that are designed and implemented to fend-off COVID-19.

The World Bank has given multiple reasons why economic policies implemented in Sub-Saharan Africa should be different from those adopted in advanced countries and (some) middle-income countries.

Hahahaa waliandikiwa na Albert Msando huu ni mwandiko wake. Poor CCM
 
Huwa najiuliza siku wakishuka kwenye daladala wataweza ishi bila sifa.Maana daladala ikishakuacha kituoni kwako utosikia cha TBC,harmonize Wala musiba wakikuimbia nyimbo kusudi wapate pesa toka kwako.
HaWa wazee wa kingosha watang'ang'ania daladala hadi wafie humo
 
Kuna shida mahali. Sisi tulikuwa tunafurahia raisi wetu kusifiwa kumbe ni fake news. Kwa nini uandike uongo ili upate cheo. Watu wanomzunguka raisi wengi wao ni wanafiki. Sasa sijui huko nje wanamwonaje raisi wetu. Is a shame.
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

MATAGA wakiongozwa na MMBANDO, kilaza mmoja toka mwika komakundi ndio linaandikaga hayo maujinga, yaani MECCO anakaa na kuwaza kupongezwa kila kitu na dunia nzima.
 
Mkuu nilifungua hii story na links zote zimo - Imeondolewa kwa sababu tu JPM anawanyima usingizi.

World Bank Warns African Countries Copying Western Anti-COVID-19 Policies

Tuesday, April 14, 2020 / 01:07 AM / By RedPepper Editorial & World Bank / Header Image Credit: WatPad

The World Bank Group has applauded Tanzanian unique approaches to contain the COVID-19 pandemic and also cautioned African states to desist from copying Western practices and policies to curb its spread.

"Thanks, President John Magufuli for not duplicating policies implemented in advanced countries and some middle - income as pasted by some African countries in the region.

The Africa's Pulse Report titled as "assessing the economic impact of COVID-19 and Policy Responses in Sub-Saharan Africa" released yesterday has commended Tanzania as one of the best examples for its strategic approaches that considers the best of its political economy and well-being of the society.

With 32 COVID- 19 confirmed cases, 3 deaths and 5 recoveries, Tanzania unlike other African countries has not locked down businesses and its citizens. The country has not also closed its borders but initiated strict testings and 14 days quarantine to all arrivals.

The World Bank report warns catastrophic consequences to sub- Saharan countries that have copied and pasted anti COVID- 19 policies.

"Facing a fast-changing situation with great uncertainty and so many unknowns, most governments around the world have resumed to similar approaches to contain the COVID-19 pandemic", the report states.

The report mentions South Africa, Ghana, Rwanda, and Kenya, who have reacted quickly and decisively to curb the potential influx and spread of the COVID-19 virus very much in line with emerging international experience.

The report warns these countries that as the situation evolves, there are more questions about suitability and likely effectiveness of some of these policies such as strict confinement.

It advises African governments deploy a series of emergency measures and structural features of African economies that shape the policy responses that are designed and implemented to fend-off COVID-19.

The World Bank has given multiple reasons why economic policies implemented in Sub-Saharan Africa should be different from those adopted in advanced countries and (some) middle-income countries.
World Bank Warns African Countries Copying Western Anti-COVID-19 Policies
Wewe zero kabisa kichwani, Magufuli amnyime nani usingizi au yeye ndo halali kwa kuihofia CHADEMA?
Rais gani huyo aliyetumia miaka mitano madarakani kwa kuua upinzani kutumia dola na kuharibu ajira za watu?
Magufuli huyu huyu asiye na mvuto hata kidogo wa kisiasa awanyime watu usingizi?
Rais aliyesababisha maisha ya watu kuwa magumu kupindukia amnyime nani usingizi?
Rais mwoga wa uchaguzi aliyeogopa uchaguzi mdogo tu wa serikali za mitaa amnyime nani usingizi?
Rais anayetamani kuona Corona inasambaa nchi nzima ili uchaguzi mkuu uahirishwe amnyime nani usingizi?
Rais aliyeingia madarakani kwa bahati mbaya kwa nguvu za dola kwa mgongo wa uchaguzi feki usio na Tume huru ya uchaguzi amnyime nani usingizi?
Rais asiye na international exposure wala internal exposure amnyime nani usingizi?
Pathetic kabisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obsession ya misifa! Hii ya WB ni sehemu tu ya tatizo kubwa tulilonalo sasa, kupenda kusifiwa na kusifu hata kama tunafanya madudu ya kulaaniwa kabisa.

Sasa hivi kote,si bungeni si kwenye mikutano ya serikali na viongozi wa kisiasa, hotuba zinaanza kwa pongezi kwa rais,serikali blah blah!
Tumekuwa taifa la sycophants! Very stupid.
 
Nadhani alieandika hiyo post alikosea kutosema kuwa kwa maoni yake ni kwamba World Bank inashauri mbinu zilizotumiwa na Tanzania ndizo zitafaa kwa Afrika badala ya kukopi (sio kusema WB yaipongeza Tanzania).
Ukisoma hilo jarida la Word Bank ni kweli wameelezea hizo hatua zilizochukuliwa na nchi nyingine na madhara yake kwenye uchumi, hawakutaja nchi ambayo haijachukua hizo hatua za ghafla lakini wameshauri nchi zifanye hivyo.
Pia hiyo taarifa ya kukanusha kuipongeza Tanzania (japo ni kweli hawajaipongeza Tanzania specifically) ina makosa kwa wao kudai hawajaitaja Tanzania kwakua hawajui hatua ilizochukua ilhali kwenye jarida lao ukurasa wa 117 wameelezea baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Tanzania (Fiscal).

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom