Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

EVkaFHBWAAAZ6BB.jpeg

Dona kantri tumekula bati. haa haaa
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

Hii link iko wapi?
Yaani world bank wana muda wa kujibu upuuzi?
Ya awali ni fake news na hii pia ni fake news, period
 
Kama hii kitu imetoka WB basi hawajitambui kama ilivyo Serekali yenyewe ya TZ,wapi Serekali ya TZ imesema wamesifiwa na WB
Mimi sijasoma hiyo kitu Ila naamini jamaa kaandika kinyume
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

Kwi Kwi Kwi
 
Tunawaambia vilaza humu kila siku waache ujinga wa kutuletea habari bila source. Yule chizi aliyeleta hii habari source yake alisema ni website ya udaku ya uganda. Yaani wabongo utahira unawasumbua sana
 
Kama hii kitu imetoka WB basi hawajitambui kama ilivyo Serekali yenyewe ya TZ,wapi Serekali ya TZ imesema wamesifiwa na WB
Mkuu na wewe hujitambui katika suala la lugha ya Kiingereza. Ni wapi WB wanasema wanakanusha statement ya serikali ya Tanzania?
 
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.

Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.

Hivi hawa kenge wa lumumba hawaoni wanabreak trust ya serikali kwa hizi taasisi,yaani kama mnafoji kwa kuedit taaarifa ya jumla ya WB hamuon mnapunguza uaminifu hata kwenye mambo ya fedha kwamba mtaedit matumizi?Hii serikali na lichama lao ni poorly organised yaani kila mtu anataka kuonekana kwa raisi na haya mazingira ameyatengeneza mwenyew kwa kupenda sifa za kitoto,watu wamemgeuza kambale ni kumsifia unapewa shavu,jamaa amekua addicted na sifa wala hata hajistukii ni maajabu kwelikweli.Unapotoa kwa wazungu kuwa na watu smart basi sio Bashite na kundi lake tutaendelea kuaibika tu.
 
Hapo ndiyo kukanusha wewe azikutoshi mkuu! Ni mbumbumbu wa karne!
Kubishana na majitu mbumbumbu kama wew ni kazi,si mlileta taarifa kwamba WB wameipongeza tz specificaally sambamba na kuchomeka jina la Magufuli kwenye ile taarifa.Hapa wanasema taarifa yao haikuitaja tz na rais wake km mlivyoedit bali ili taarifa ya jumla kwa bara la afrika.Sijui umeelewa we kiazi
 
Back
Top Bottom