Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.

Ninatamani wangechagua miradi yenye maana kama kilimo cha umwagiliaji, mikopo ya bei nafuu kwa uanzishwaji wa viwanda nk. Badala yake wanaomba mikopo katika maeneo yasiyokiwa na athari za moja kwa moja kwa uchumi.
 
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Zikitumika hata kuajiri vijana wetu sio mbaya kuliko yule aliye kopa na kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwao ambao kwa sasa hauna kazi yoyote.
 
Nilifikiri tunaelekea kuwa country donors,kumbe bado tunakopa
Halafu sijajua nani hasa hufanya maamuzi ya kuchukua hii mikopo na baadae kuhakiki namna inavyotumika. Bunge linaendelea lakini wala sijasikia hii issue iliwasilishwa mjengoni...
 
Bila shaka hii stendi ipo katika miradi hio.

Huku napo ni bongo msipasahu

Stendi ya mkoa wa kagera hii
FB_IMG_16206789940745754.jpg
 
Hii hela ingetolewa wakati wa jiwe angekula yote na majambazi wenzake akina Sabaya, Mnyeti, Kakoko na Bashite
Sitasahau ile 70+Billion iliyotolewa na umoja wa ulaya kwa ajili ya kupambana na corona, meko na majambazi wenzake wakaila kimya kimya hawakujua kuna siku bunge la umoja wa ulaya wataiulizia hela yao, walifikiri bunge la ulaya ni kama lile genge la ngedere linaloongozwa na pimbi jobo ndughai pale dodomya.

Mpaka kesho naiota ile trillion 1.5 yetu iliyoporwa pale hazina na mpaka sasa haijulikani ilipo, hili taifa ccm wanatakiwa wauawe wote
 
Toba yarabi....nilisikia mpaka sasa kila mtanzania mmoja anadaiwa Laki saba sijui kama ni kweli
 
Mkopo huo ulitakiwa uelekezwe SGR, bwawa la nyerere. Mnasema Barbara za vijijini ili mziweke lami au mnataka kuziweka changarawe? Mkopo huu ni mzigo kwa taiga kwa sababu umeelekezwa kwenye miradi ya ajabu
Barbara za vijijini wanakwangua na kumwagia udongo wa vumbi tena baada ya mvua kwisha !

Tembelea barabara ya MPWAPWA kwenda Mbande au vijiji vya wilaya nyingine Tanzania
 
Sitasahau ile 70+Billion iliyotolewa na umoja wa ulaya kwa ajili ya kupambana na corona, meko na majambazi wenzake wakaila kimya kimya hawakujua kuna siku bunge la umoja wa ulaya wataiulizia hela yao, walifikiri bunge la ulaya ni kama lile genge la ngedere linaloongozwa na pimbi jobo ndughai pale dodomya.

Mpaka kesho naiota ile trillion 1.5 yetu iliyoporwa pale hazina na mpaka sasa haijulikani ilipo, hili taifa ccm wanatakiwa wauawe wote
Wakatafuna na michango ya rambirambi ya tetemeko la Kagera, na kuna ile hela ya elimu Zitto alienda kuwasagia kunguni WB (Walipiga mayowe balaa, hadi wakataka kumuua)
 
Demokrasia imeleta hela, na itaendelea kuleta hela

Chadema wanafanya siasa bila bughudha , imf wametoa hela
 
Back
Top Bottom