Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

Nilifikiri tunaelekea kuwa country donors,kumbe bado tunakopa
Donor Country kwa kudanganywa na jiwe ? Miaka 100 ijayo labda tugundue mafuta yetu ndio itakuwa afadhali.....makusanyo yatosha budget mwezi tu ....60% bajeti tunasaidia miaka yote hii jidanfanye hivyo hivyo....achana propaganda za jiwe muongo
 
Wamekopa trillion 2 kwa miradi ya kipuuzi kabisa.

Miradi yote hamna hata mmoja unaoiwezesha nchi kujitegemea.
Nawaza kama wewe.. nature ya hii miradi dizaini sijaielewa.. haipo tangible.. bora hiyo ya kujenga barabara..

Unawesa shangaa theluthi nzima ya fedha ikaenda kama mishahara na recurrent expenses
 
Nimeuona huo mkopo nikabaki nashika kichwa...mabeberu hawajawahi kutaka kujitegemee...wanakupa mikopo itakayokufanya uendelee kuwategemea ili iwe rahisi kwako kupenyeza agenda zao.
China wanakopa,german wanakopa usa wanakopa uk wanakopa wewe ni nani usikope
 
Wewe Ndugu yangu uliwahi kusikia wapi ukiacha Tanzania ya Sasa ambako wafanyabiashara wanabembelezwa kulipa Kodi? Trump mwenyewe wa Marekani alikuwa anatafuta upenyo wa kukwepa kodi
Baada ya miezi ndio watajua hawajui mkuu!

Ngoja tukae kimya maana tukisema tunaambiwa mataga
 
Hayo masharti nafuu yawekwe wazi, yàjulikane, marejesho yataanza lini na mwisho wa kulipa ni lini?

Wananchi ndio walipaji wanapaswa kufahamu mambo haya kwa wazi
 
Hupaswi kujua yote hayo
Hayo masharti nafuu yawekwe wazi, yàjulikane, marejesho yataanza lini na mwisho wa kulipa ni lini? Wananchi ndio walipaji wanapaswa kufahamu mambo haya kwa wazi
hayo yote hupaswi kujua...bado fedha za mkopo wa Corona...
 
Back
Top Bottom